18/02/2026
Vijana na wote taifa la Mungu Tumsifu Yesu Kristo Niwatakieni nyote kwaresma njema kipindi maalumu chakufanya toba na matendo ya huruma Kwa wenye shida na wale wasio jiweza Kwa namna Moja au nyingine kile ulicho jinyima kitoe Kwa ajili ya wahitaji hakika baraka za Mungu hazitakupita