Aliyehitwa na Mungu

Aliyehitwa na Mungu MUNGU WA!,IBRAHIMU, YAKOBO, MUNGU WA ELIYA NA MUSA NDIYE YEYE YULE JANA LEO NA HATA MILELE. EE BWANA TWAKUTUKUZA DAIMA!

MTU mbaya hauwezi kumtambua kwa kutazama na macho ya kawaida tu, mwombe Mungu akupatie macho ya rohoni. Nakutakia maanda...
16/11/2019

MTU mbaya hauwezi kumtambua kwa kutazama na macho ya kawaida tu,
mwombe Mungu akupatie macho ya rohoni. Nakutakia maandalizi mema ya ibada ya kesho.

Hekima ya wazee wetu.
11/11/2019

Hekima ya wazee wetu.

04/07/2016

Mungu AKUBARIKI week hi iwe ni ya BARAKA KUBWA KWAKO.
TUKUTANE BONDE LA BARAKA MOSHI MBUYUNI. FULL VICTORY GOSPLE CHURCH

04/07/2016
It's your time now to bounding, to fulfill your destination plan's. In Jesus Name receive
03/07/2016

It's your time now to bounding, to fulfill your destination plan's.
In Jesus Name receive

Kesho cku ya jpil nakualika kwenye ibada ya Neno na maombezi itakayodeal na mambo makuu manne: 1 kuvunja nguvu ya kukand...
05/03/2016

Kesho cku ya jpil nakualika kwenye ibada ya Neno na maombezi itakayodeal na mambo makuu manne: 1 kuvunja nguvu ya kukandamizwa oficin kwako, au na viongoz wako.2 kuvunja roho ya kudharauliwa juu yako na kuachilia neema ya kuheshimiwa.3 Kuvunja madhabahu ya kudhulumiwa.4 Kuomba kibali cha Mungu juu yako popote uwapo popote ulipo pokea! tukutane Kesho Kanisa la FVGM Bonde la baraka Moshi Mjini Mbuyuni Na upokee neema hii kwa jina la Yesu.

29/02/2016

Alikuwa anaenda kwaya akapatwa na kupararaizi mdo,ameletwa na mama yake nikagusa mdomo nikatamka Neno la kinabii mdomo ulikuwa upandeni ukarudi katikati,mwaminn Yesu anaweza.

29/02/2016

Huu ni mkanda wa video ya mambo makubwa ya ajabu Mungu ametenda,ni miujiza ya kupita kawaida,na Doctor Bishop,MZEE wa maombi Job John

13/02/2016

Ni maombi yangu kwa kila unayesoma ujumbe huu Mungu akukumbuke kwa jema ulilowahi kufanya kwenye ufalme wake.

22/01/2016

Kazi ya Mungu haina makosa wamekaa kitambo bila uzao, nimetamka Neno la kinabii kwa Jina la Yesu wakapata. Hata kwako inawezekana ukipenda tuwasiliane +255 655 071 916.

17/01/2016

Tasa wameendelea kupata watoto Kupitua Mtumishi wake Job John wa FVGM Bonde la Baraka Moshi, waliokuwa na matatizo ya kuharibika mimba woote waliokutana na huyu Mtumishi wamepona na kupata watoto!

Address

THE ACT OF APOSTLES
Moshi

Telephone

0755354382

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aliyehitwa na Mungu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share