KKKT DK Usharika wa Sanya Juu

KKKT DK Usharika wa Sanya Juu Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KKKT DK Usharika wa Sanya Juu, Evangelical church, 63 Sanya Juu, Moshi.

Yes...Mungu ni mwaminifu sana kwetu, tunamshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha kufanikisha mkesha wa vijana, uliongozwa na...
01/07/2023

Yes...Mungu ni mwaminifu sana kwetu, tunamshukuru sana Mungu kwa kutuwezesha kufanikisha mkesha wa vijana, uliongozwa na Mch. Godwin Mselle-Mchungaji Kiongozi Usharika wa Sanya juu.

Na wakufunzi wetu walikuwa ni Mwl. Frank Mdoe kutoka Arusha pamoja na Mwl. Atukuzwe Mmari kutoka Bomang'ombe.

Mada ilikuwa ni: Kijana Mkristo na malengo ya maisha, katika maeneo ya kiroho, kielimu, kijamii na kiuchumi.

Maombi na maombezi yalifanyika. Mungu awabariki sana.

Baadhi ya Vijana wa Usharika wakiwa kwenye ziara ya Udaikonia....Mungu awabariki sana kwa utume huo.
30/06/2023

Baadhi ya Vijana wa Usharika wakiwa kwenye ziara ya Udaikonia....Mungu awabariki sana kwa utume huo.

Watu wote wa Sanya Juu na viunga vyake msikubali kukosa. Karibuni tumsifu na kumwabudu Mungu wetu na pia tujifunze neno ...
30/06/2023

Watu wote wa Sanya Juu na viunga vyake msikubali kukosa. Karibuni tumsifu na kumwabudu Mungu wetu na pia tujifunze neno lake kwa pamoja.....Karibuni sana.

Idara ya Vijana kwa kushirikiana na Idara ya Udiakonia waliandaa ziara ya kuwatembelea wahitaji walioko ndani ya Usharik...
30/06/2023

Idara ya Vijana kwa kushirikiana na Idara ya Udiakonia waliandaa ziara ya kuwatembelea wahitaji walioko ndani ya Usharika, waliweza kuwafikia na kuwasomea neno la Mungu na baadae waliwapa zawadi kidogo.

Ni katika kuhitimisha mwezi wa Vijana 2023....Mungu awabariki sana.

Leo tar. 25.06.2023 Idara ya Vijana kwa kushirikiana na Idara ya Udiakonia, iliweza kufanya ziara ya kuwatembelea wahita...
25/06/2023

Leo tar. 25.06.2023 Idara ya Vijana kwa kushirikiana na Idara ya Udiakonia, iliweza kufanya ziara ya kuwatembelea wahitaji waliopo ndani ya Usharika, hivyo katika ziara hiyo walizweza kusoma neno la Mungu na kufanya sala ya pamoja, na baadae waliweza kuwapatia zawadi kidogo..Mungu awabariki sana.

Tar.07.05.2023 katika kalenda ya Kanisa ni siku maalum sana ya kumwimbia Bwana Wimbo Mpya-KANTATE DOMINO.Usharika wa San...
08/05/2023

Tar.07.05.2023 katika kalenda ya Kanisa ni siku maalum sana ya kumwimbia Bwana Wimbo Mpya-KANTATE DOMINO.
Usharika wa Sanya Juu-Jimbo la Siha ilikuwa siku njema sana kwetu kwani siku hii iliweza kufana sana na watu walimtukuza sana Bwana kwa kumwimbia kwa lugha mbalimbali.
Ibada hiyo ilifunguliwa na Mch. Kiongozi Usharika wa Sanya Juu-Mch. Godwin Mselle na ilifungwa kwa sala maalum na Mch. Mwenza Usharika wa Sanya Juu-Mch. Regium Kimaro.

09/04/2023
  ni baadhi ya Wazee wa Kanisa na Washarika waliojitoa kwa kutumia vyombo vyao vya Usafiri kwa ajili ya huduma ya leo. M...
04/04/2023

ni baadhi ya Wazee wa Kanisa na Washarika waliojitoa kwa kutumia vyombo vyao vya Usafiri kwa ajili ya huduma ya leo. Mungu awabariki sana.

  ni Wajumbe wa k**ati ya Udiakonia-Usharika wa Sanya Juu.
04/04/2023

ni Wajumbe wa k**ati ya Udiakonia-Usharika wa Sanya Juu.

  Yesu asifiwe Watu wa Mungu.Ni katika Usharika wa Sanya Juu tena,  leo tarehe 04.04.2023 tulikuwa na Ibada maalum ya Wa...
04/04/2023

Yesu asifiwe Watu wa Mungu.
Ni katika Usharika wa Sanya Juu tena, leo tarehe 04.04.2023 tulikuwa na Ibada maalum ya Wazee wasiojiweza pamoja na watu wenye ulemavu wa viungo (Walemwa).

Katika Ibada hiyo tulishiriki Chakula cha Bwana pamoja na baadae chai na chakula cha mchana na mwisho Uongozi wa Usharika ukawashika mkono na kuwatakia heri ya Pasaka kwa zawadi.

Pichani ni:
1. Mch. Godwin Msele-Mchungaji Kiongozi na
2. Mch. Stephano Mariki-Ushrika wa Ngarony

  with us
04/04/2023

with us

 . 02.04.2023 Siku ya mwisho kabla ya Pasaka-Siku ya Mitende (Palmarum)   Bwana Anakuja.Katik Usharika wa Sanya Juu tuli...
03/04/2023

. 02.04.2023 Siku ya mwisho kabla ya Pasaka-Siku ya Mitende (Palmarum)
Bwana Anakuja.

Katik Usharika wa Sanya Juu tulikuwa na Ibada maalum ya Kustaafisha Wazee wa Kanisa na Kuwaingiza Viongozi wapya Kazini pamoja na Kuwaaga Watumishi waliotumika kwetu:
1. Mch. Elitira Mmari
2. Mwnj. Isaya Urassa
3. Mwnj. Wilfred Mmari

Ibada iliongozwa na:
1. Mch. Godwin Msele-Mchungaji Kiongozi
2. Mch. David Shao-TUMA
3. Mwnj. Apaikunda Terry-Mwinjilisti Usharika wa Sanya Juu

Katika Ibada hiyo ambapo Mhubiri alikuwa Mch. David Shao alipongeza sana Uongozi wa Usharika kwa kushirikiana na Washarika kwa kuandaa siku k**a ya leo na pia aliwapongeza Wazee wastaafu kwa kazi nzuri ya Bwana waliyoitenda toka walipochaguliwa, lakini pia aliendelea kuwatia moyo Viongozi wapya kwa kuaminiwa na Washarika kwa ajili ya kuwaongoza vema katika misingi ya kiimani na kumjua Mungu.

Mch. Shao alizidi kukaza mafundisho kwa watu juu ya kuutafuta uso wa Mungu siku zote na kutimiza wito aliokuitia, pamoja na changamoto na hali zote za kimaisha lakini tusikate tamaa bali tudumu katika Sala na kufarijika zaidi kupitia ahadi zake juu ya kuitenda yake.

Address

63 Sanya Juu
Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KKKT DK Usharika wa Sanya Juu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to KKKT DK Usharika wa Sanya Juu:

Share