Hema ya Uzima

Hema ya Uzima Kanisa La Hema Ya Uzima [Life Tabernacle]
Linaloongozwa na Rev: Hilda Geofrey Fue

13/04/2026

IBADA YA JUMAPILI TAREH: 12/4
13/04/2026

IBADA YA JUMAPILI TAREH: 12/4

11/04/2026
KANISA LA HEMA YA UZIMA LINAKUKARIBISHA KESHO JUMAPILI KWENYE IBAADA NJOO NA NDUGU NA JAMAA NA MARAFIKI NA MUNGU WA MBIN...
11/04/2026

KANISA LA HEMA YA UZIMA LINAKUKARIBISHA KESHO JUMAPILI KWENYE IBAADA NJOO NA NDUGU NA JAMAA NA MARAFIKI NA MUNGU WA MBINGUNI AKAJIBU HAJA YA MOYO WAKO

:KUSIFU

;KUABUDU

:NENO

MAOMBI KWA WATU WOTE WENYE UHITAJI NA MUNGU ATAWAFUNGUA

KARIBU SANA NA MUNGU AKUBARIKI UOATE KIBALI CHA KUHUDHURIA IBAADA HIYOπŸ™

KAZI YAO NJEMA SANA MEDIA NA SOUND ENGINER MUNGU AWABARIKI SANAA πŸ™HAWA NDO WANAHAKIKISHA WAUMINI TUNAPATA KILICHO BORA M...
09/04/2026

KAZI YAO NJEMA SANA MEDIA NA SOUND ENGINER MUNGU AWABARIKI SANAA πŸ™

HAWA NDO WANAHAKIKISHA WAUMINI TUNAPATA KILICHO BORA MASIKIONI MWETU

πŸ”₯ Uwepo wa Mungu hubadilisha kila kitu!Hakuna anayeingia mbele zake akabaki vilevile.Karibu sana kanisani kwetu Elim Pen...
08/04/2026

πŸ”₯ Uwepo wa Mungu hubadilisha kila kitu!
Hakuna anayeingia mbele zake akabaki vilevile.

Karibu sana kanisani kwetu Elim Pentekoste - Hema ya Uzima

Hakika tunaingia ndani zaidi ya uwepo wa Mungu, tukijazwa nguvu, tukifundishwa kweli, na kuandaliwa kwa kusudi letu.

K**a moyo wako unatamani zaidi ya uliyoyazoea, basi huu ndio wakati wa kuchukua hatua ya imani. Mungu ana jambo jipya kwa ajili yako!

πŸ‘‰ Njoo upokee nguvu
πŸ‘‰ Njoo upate ufunuo
πŸ‘‰ Njoo ubadilishwe

Imani Maombi

08/04/2026
Mungu bado anasema na watu wake hadi leo!Usikubali kubaki vilevile wakati kuna neema ya kubadilishwa.πŸ‘‰ Huu ni wakati wak...
07/04/2026

Mungu bado anasema na watu wake hadi leo!
Usikubali kubaki vilevile wakati kuna neema ya kubadilishwa.

πŸ‘‰ Huu ni wakati wako wa kuinuka
πŸ‘‰ Huu ni wakati wako wa kupokea
πŸ‘‰ Huu ni wakati wako wa kubadilika

Karibu tukutane na Mungu kwa sababu ukikutana naye, maisha yako hayawezi kubaki vilevile! πŸ™πŸ”₯

Imani Maombi

Hongera sana kwa hatua hii kubwa na ya baraka sana ya kutangaza uchumba mchungaji JacksonHapana shaka sasa tunahesabu ha...
07/04/2026

Hongera sana kwa hatua hii kubwa na ya baraka sana ya kutangaza uchumba mchungaji Jackson

Hapana shaka sasa tunahesabu hatua chache kuelekea kuwa baba kamili (maana baba bila mama na yenyewe)πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Tunasubiri ubwabwa tuuπŸ₯³πŸ₯³πŸ₯³

Imani Maombi

MUSICIAN
07/04/2026

MUSICIAN

Address

P. O. Box 6489
Moshi

Telephone

+255754866879

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Hema ya Uzima posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share