Church of gospel international COGI

Church of gospel international COGI Mimi

30/06/2026

πŸ”₯πŸ”₯ TANGAZO LA MKESHA WA VIJANA πŸ”₯πŸ”₯

"MKESHA WA KUPOKEA MAMBO MATATU MAKUBWA KUTOKA JUU."

"Mungu yuko tayari kukutendea makuu. Je, uko tayari kupokea?"

πŸ“… Tarehe: 03-07-2026
πŸ•’ Muda: Saa 3:00 Usiku

πŸ“ Mahali:
The Church of Gospel International (COGI)
Msasani COGI Makao Makuu
Mkabala na Kituo cha CCBRT

🎀 Chini ya Mbeba Maono:
Mchungaji Elisha Elia

πŸ™ Huu ni mkesha maalumu wa vijana wenye maombi ya nguvu, ibada ya kweli, sifa na kuabudu, Neno la Mungu na mguso wa Roho Mtakatifu.

Katika mkesha huu utapokea mambo matatu makubwa kutoka juu:
βœ… Kufunguliwa milango ya baraka.
βœ… Neema na nguvu mpya za kutimiza kusudi la Mungu.
βœ… Ukombozi na ushindi dhidi ya kila aina ya vifungo.

"Tazama, nafanya jambo jipya; sasa litachipuka..." β€” Isaya 43:19

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi:
+255 719 810 459

πŸ”₯ Karibu wewe, familia yako na marafiki zako. Usikose mkesha huu wa kihistoria ambao Mungu ameandaa kwa ajili yako!

πŸ”₯πŸ”₯ TANGAZO LA MKESHA WA VIJANA πŸ”₯πŸ”₯"MKESHA WA KUPOKEA MAMBO MATATU MAKUBWA KUTOKA JUU.""Mungu yuko tayari kukutendea makuu...
28/06/2026

πŸ”₯πŸ”₯ TANGAZO LA MKESHA WA VIJANA πŸ”₯πŸ”₯

"MKESHA WA KUPOKEA MAMBO MATATU MAKUBWA KUTOKA JUU."

"Mungu yuko tayari kukutendea makuu. Je, uko tayari kupokea?"

πŸ“… Tarehe: 03-07-2026
πŸ•’ Muda: Saa 3:00 Usiku

πŸ“ Mahali:
The Church of Gospel International (COGI)
Msasani COGI Makao Makuu
Mkabala na Kituo cha CCBRT

🎀 Chini ya Mbeba Maono:
Mchungaji Elisha Elia

πŸ™ Huu ni mkesha maalumu wa vijana wenye maombi ya nguvu, ibada ya kweli, sifa na kuabudu, Neno la Mungu na mguso wa Roho Mtakatifu.

Katika mkesha huu utapokea mambo matatu makubwa kutoka juu: βœ… Kufunguliwa milango ya baraka.
βœ… Neema na nguvu mpya za kutimiza kusudi la Mungu.
βœ… Ukombozi na ushindi dhidi ya kila aina ya vifungo.

"Tazama, nafanya jambo jipya; sasa litachipuka..." β€” Isaya 43:19

πŸ“ž Kwa maelezo zaidi:
+255 719 810 459

πŸ”₯ Karibu wewe, familia yako na marafiki zako. Usikose mkesha huu wa kihistoria ambao Mungu ameandaa kwa ajili yako!

23/12/2025

Shalom shalomπŸ™πŸ™

Address

Msasani
Moshi

Telephone

+255719810459

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Church of gospel international COGI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share