Nurul Kitab Wa Sunnah

Nurul Kitab Wa Sunnah Kutafuta elimu ni faradhi juu ya kila Muislamu.

*πŸ“œ KUHUDHURIA SHEREHE ZA HARUSI MAHALI KUNA MAOVU AMBAYO MTU HATOYASHIRIKI*السـ❓ـ؀ال*⚠️Sherehe zetu nyingi huwa hazina m...
30/05/2026

*πŸ“œ KUHUDHURIA SHEREHE ZA HARUSI MAHALI KUNA MAOVU AMBAYO MTU HATOYASHIRIKI*

السـ❓ـ؀ال

*⚠️Sherehe zetu nyingi huwa hazina mambo ya maovu isipokuwa tu wakati wanaume wanaingia kwenye ukumbi wa chakula ulio karibu na ukumbi wa wanawake ndipo wanaweza kusikia sauti za wanawake kwa jina β€œvigelegele”. Je, kitendo hichi ni maovu? Katika hali hii ni wajibu kwetu kutoka nje baada ya kuhudhuria katika chakula ilihali nafsi ni zenye kutamani chakula hichi na wanawake wamekataa kuzishusha sauti zao? Nikijua kuwa wanawake watafanya maovu katika harusi hii nisihudhurie na khaswa kwa kuzingatia kwamba mimi sintoshuhudia?*

Ψ§Ω„Ψ¬Ω€βœ…Ω€ΩˆΨ§Ψ¨

*πŸŽ™οΈMhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin Β΄Uthaymiyn*

*Wanachuoni (Rahimahumu Allaah) wamesema kwamba mtu akiitwa katika karama ya ndoa na ndani yake kukawepo maovu asiyoweza kuyaondosha na wakati huohuo hatoyahudhuria, kuyashuhudia wala hatoyasikia, basi yuko na khiyari; akitaka atahudhuria na akitaka asihudhurie.*

*πŸ”– Kuhusu kwamba ukumbi wa wanawake uko karibu na ukumbi wa wanaume, nashauri kwamba ukuta unaotenganisha kati ya ukumbi wa wanaume na wanawake uwe umefungwa na sauti isize kutoka nje. Vilevile sauti ikhafifishwe cha kiwango cha wale wanawake walioko ukumbini tu kuweza kusikia.*

*Watu wakiyafanyia kazi haya kwa njia ya kwamba wanawake wakawa kivyao na hali ya kufungwa ambapo sauti haiwafikii wanaume na pia sauti ikawa ndani ya ukumbi pekee, hakuna neno. Katika hali hii ahudhurie na hakuna neno juu yake.*

*πŸ“š al-LiqaaΒ΄ ash-Shahriy (66)*

28/05/2026

πŸ—“οΈ KALENDA YA LEO

πŸŽ₯ MASIKU YA TASHRIK

πŸŽ™οΈSHEIKH ABDUL 'AZIZI AL SHEIKH - ALLAH AMRAHAMU.

Ungana nasi kwa faida zaidi:

NURUL KITAB WA SUNNAH
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d

AL AKHLAAQ
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaZ971X2kNFh1Yng9447

STUDIO ZETU
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7ljXpF6smvp2yzPx40
Sambaza faida``

Nurul Kitab Wa Sunnah | Kutafuta Elimu ni Faradhi juu ya Kila Muislamu

27/05/2026

πŸ—“οΈ KALENDA YA LEO

πŸŽ₯ KULA SIKU YA 'IYD NDIYO 'IYD

πŸŽ™οΈSHEIKH ABUU NUFAIDAH HUSSEIN SEMBE- ALLAH AMUHIFADHI.

Ungana nasi kwa faida zaidi:

NURUL KITAB WA SUNNAH
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d

AL AKHLAAQ
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaZ971X2kNFh1Yng9447

STUDIO ZETU
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7ljXpF6smvp2yzPx40
Sambaza faida``

Nurul Kitab Wa Sunnah | Kutafuta Elimu ni Faradhi juu ya Kila Muislamu

27/05/2026

πŸŽ€ PONGEZI KWENU

IYDUL MUBARAK

26/05/2026

πŸ—“οΈ KALENDA YA LEO

πŸŽ₯ TUFANYE MAANDALIZI YA WANYAMA WA KUCHINJA

πŸŽ™οΈSHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA KASSIM - ALLAH AMUHIFADHI.

Ungana nasi kwa faida zaidi:

NURUL KITAB WA SUNNAH
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d

AL AKHLAAQ
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaZ971X2kNFh1Yng9447

STUDIO ZETU
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7ljXpF6smvp2yzPx40
Sambaza faida``

Nurul Kitab Wa Sunnah | Kutafuta Elimu ni Faradhi juu ya Kila Muislamu

25/05/2026

πŸ—“οΈ KALENDA YA LEO

πŸŽ₯ UJIRA WA FUNGA YA 'ARAFA

22/05/2026

πŸ—“οΈ KALENDA YA LEO

πŸŽ₯ KUTO KUAMINI QADAR NI SABABU YA KUINGIA MOTONI

πŸŽ™οΈSHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA KASSIM - ALLAH AMUHIFADHI.

Ungana nasi kwa faida zaidi:

NURUL KITAB WA SUNNAH
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d

AL AKHLAAQ
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaZ971X2kNFh1Yng9447

STUDIO ZETU
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7ljXpF6smvp2yzPx40
Sambaza faida``

Nurul Kitab Wa Sunnah | Kutafuta Elimu ni Faradhi juu ya Kila Muislamu

21/05/2026

πŸ—“οΈ KALENDA YA LEO

πŸŽ₯ KUAMINI QADAR

19/05/2026

πŸ—“οΈ KALENDA YA LEO

πŸŽ₯ JAMBO LA KWANZA ALLAAH KULIUMBA

πŸŽ™οΈSHEIKH ABUL FADHL KASSIM MAFUTA KASSIM - ALLAH AMUHIFADHI.

Ungana nasi kwa faida zaidi:

NURUL KITAB WA SUNNAH
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Va7tZ1x3gvWdMZi3cc2d

AL AKHLAAQ
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029VaZ971X2kNFh1Yng9447

STUDIO ZETU
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
https://whatsapp.com/channel/0029Vb7ljXpF6smvp2yzPx40
Sambaza faida``

Nurul Kitab Wa Sunnah | Kutafuta Elimu ni Faradhi juu ya Kila Muislamu

Address

Morogoro
67101

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nurul Kitab Wa Sunnah posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share