Dumila Juu SDA Church

Dumila Juu SDA Church Kanisa la waadventista wa sabato Dumila Juu
Karibu nyumbani mwa Bwana ���
"Usilale Yesu Anakuja"

Karibuni Katika pumziko la sabato maalum ya kufunga mwaka 2024 na Pr Samwel Nyaonge Katika kanisa la waadventista wa sab...
28/12/2024

Karibuni Katika pumziko la sabato maalum ya kufunga mwaka 2024 na Pr Samwel Nyaonge Katika kanisa la waadventista wa sabato Dumila Juu

?
Mungu awabariki 🙏🙏🙏

Karibuni Katika sherehe za maadhimisho ya miaka 150 ya utume wa kanisa la waadventista wa sabato ECT tarehe 25-26/10/202...
22/10/2024

Karibuni Katika sherehe za maadhimisho ya miaka 150 ya utume wa kanisa la waadventista wa sabato ECT tarehe 25-26/10/2024 Katika uwanja wa jamhuri morogoro mjini .
Usipange kukosa mibaraka hii mkubwa
Mungu awabariki 🙏🙏🙏

Address

P. O Box 106
Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dumila Juu SDA Church posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share