The Word For The World Tanzania

The Word For The World Tanzania Christian Organization implementing Bible Translation Projects

23/07/2025
09/07/2025

Monthly giving = sustainable transformation.

Regular gifts enable efficient and sustainable Diploma in Bible Translation (DBT) training, translation team equipping, and launching indigenous translation teams who will impact their communities for generations.

It takes time to master biblical languages. Time to build translation teams. Time to see whole communities transformed by Scripture.

Monthly partners make the long-term victory possible. These called Christians aren’t just giving—they're building something eternal.

04/04/2025
03/03/2025

Lijue shirika la Neno kwa Ulimwengu The Word For The World Tanzania

Glory be to God. This week, Bible Translators from East and Central Cluster meet in Morogoro for consultation purpose wi...
16/09/2024

Glory be to God. This week, Bible Translators from East and Central Cluster meet in Morogoro for consultation purpose with our Local Consultant Rev. Raymond Sekabigwa. They are working on the Book of Job.

Kwa neema ya Mungu. Wiki hii, Watafsiri kutoka Cluster ya Mashariki na Kati wanakutana Morogoro kwa lengo la kufanya consultation wakiwa pamoja na Mshauri wa kitaalamu yaani consultant Mch. Raymond Sekabigwa. Wanafanyia kazi kitabu cha Ayubu.

Last week we had an opportuity to be invited by Railway Anglican Church in Morogoro in their 33 years anniversary. On th...
27/08/2024

Last week we had an opportuity to be invited by Railway Anglican Church in Morogoro in their 33 years anniversary. On that event we participated in the Maratho and distributed NT to Lughuru, Ndamba, Pogoro and Yao speakers. The Word for The World :Zimbabwe

Wiki iliyopita tulipata nafasi kualikwa na Kanisa la Anglican Railway Morogoro katika anniversary yao ya miaka 33 ya huduma. Kwenye hafra hiyo tulishiriki mbio fupi za kukimbia na kugawa Biblia za Kilughuru, Kindamba, Kipogoro na Kiyao. The Word for The World :Zimbabwe

One of the steps in the Bible Translation processes is Consultation. This is where by the Consultant work with the Trans...
19/08/2024

One of the steps in the Bible Translation processes is Consultation. This is where by the Consultant work with the Translators and Exegetes to check the translation work done by the Bible Translators. By the Grace of God, the team of Translators from Nyamando and Kaisandosa clusters are working with the Consultant Mr. Patrick Rietveld and an Exegete and Projects Coordinator for Tanzania Mr. Godfrey Lukoo on the book of Acts.

Moja ya hatua ya mchakato wa kufanya kazi za utafsiri wa Bibli ni Consultation. Ambapo mshauri wa kitaalamu yaani consultant hufanya kazi pamoja na watafsiri kuhariri kazi ya utafsiri iliyofanywa na watafsiri. Kwa neema ya Mungu, timu ya watafsiri kutoka cluster ya Nyamando na Kaisandosa wanafanya kazi ya kuhariri kitabu cha Matendo wakiwa pamoja na Consultant Bwana Patrick Rietved pamoja na exegete pia ni msimamizi wa miradi kwa Tanzania Bwana Godfrey Lukoo.

Tunarudisha sifa na Utukufu kwa Mungu wetu aliye juu kwa kufanikisha vyema mkutano wa Injiri uliofanyika katika viwanja ...
05/07/2024

Tunarudisha sifa na Utukufu kwa Mungu wetu aliye juu kwa kufanikisha vyema mkutano wa Injiri uliofanyika katika viwanja vya Kiberege Misufini. Tunamshukuru Mukurugenzi wetu wa Shirika la Neno kwa Ulimwengu Tanzania pamoja na watafsiri wa Neno kwa Ulimwengu klasta ya Bonde kwa kujitolea na kuratibu Mkutano huo. Mkutano umekuwa na mafanikio makubwa ambapo watu wengi walifunguliwa na kubarikiwa. Sifa na utukufu ni kwake yeye Bwana aliyeumba Mbingu na nchi.

Watafsiri wa Neno kwa Ulimwengu yaani  Word For The World tawi la Tanzania wanaohudumu klasta ya Bonde,  yaani Bonde Clu...
01/07/2024

Watafsiri wa Neno kwa Ulimwengu yaani Word For The World tawi la Tanzania wanaohudumu klasta ya Bonde, yaani Bonde Cluster inayojumuisha miradi ya Bondei, Mbunga, Ndwewe pamoja na Benamanga. Kwa pamoja wakiongozwa na mratibu wa mkutano huu Ndugu Richard Myeya pamoja na Mwenyekiti wake Ndugu Augustino Chausa. Kwa kujitolea kwao wameandaa mkutano wa Injili unaofanyika katika viwanja vya Kiberege Misufini katika kijiji cha Misufini. Mkutano huo umeanza leo na utamalizika Jumatano ya wiki hii. Mkutano unaanza saa 3 asubuhi hadi saa 12 jioni ikifuatiwa na semina ya Neno la Mungu saa 2 usiku pamoja na sinema ya Maisha ya Yesu.

Watu wanaendelea kufunguliwa na kubarikiwa. Mliopo maeneo ya karibu mnakaribishwa sana.

01/07/2024

Hivi ndivyo wahitimu wetu wa Diploma ya Utafsiri wa Biblia walivyoingia kwenye mbwembwe ukumbini kukabidhiwa na kusheherekea siku yao adhimu kabisa...

Hakika tarehe 29 mwezi huu ni siku ya furaha sana kwa baadhi yetu watafsiri wa Neno kwa ulimwengu........Mungu ni mwema ...
25/06/2024

Hakika tarehe 29 mwezi huu ni siku ya furaha sana kwa baadhi yetu watafsiri wa Neno kwa ulimwengu........Mungu ni mwema sana...

Address

Canadian Street
Morogoro

Telephone

+255713687228

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Word For The World Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Word For The World Tanzania:

Share