Mahanaim Revival Church TAG CHOZA

Mahanaim Revival Church TAG  CHOZA Welcome to worship services, God look at the potential in you "Genesis 12:1-3)

05/10/2024

KARIBU TUMWABUDU MUNGU JUAPILI YA KESHO NA MUNGU ATAKUHDUMIA.

09/08/2024

Acha kuyapa thamani maneno ya ibirisi,acha kutega masikio kusikiliza maneno ya wavunja mioyo

01/08/2024

Bado hujajua vyote,omba ufunuo wa Kimungu kwa kila hatua na unapoona unakwama,angali namna Mungu alivyo jifunua kwa Musa katika vipindi tofautitofauti akiwa safarini na Waisraeli

31/07/2024

Ni kwa namna gani unaweza kuutunza utakatifu.
Tuna walimu wazuri sana wahi kuanzia saa 3:30 hadi saa 4:00 kila Jumapili upate mafundisho mazuri ya Kristo

31/07/2024

Poke sawasawa na haja ya moyo wako

28/07/2024

(Kutoka Kutoka 33:2.Nami nitamtuma malaika aende mbele yako; nami nitawafukuza Mkanaani, na Mwamori, na Mhiti, na Mperizi, na Mhivi, na Myebusi; .Uliyempokea Yesu unalindwa na Malaika wa Mungu na yupo Malaika kwa ajili yako anayeshughulika na mabo yako .Mpendwa mwamini Yesu hutateteleka ,liamini Neno la Kristo maana hilo ndiyo kweli na litakuweka huru nawe utakuwa huru kweli.Acha kuizowea dhambi maana mshahara wa dhambi ni mauti

27/07/2024

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mahanaim Revival Church TAG CHOZA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share