STAN Bible online

STAN Bible online Imani ni zawadi kutoka kwa Mungu

04/10/2019


....

Je, ni jambo gani ama kitu gani kinasababisha watu wasifikie malengo yao au mipango walio panga kufanya??

30/08/2017

Kufunua kilichofichwa
Warumi 8:18-19
Kuna watu wanasubiri vitu flani vifanyike ili vingine viendelee. Kuna mafunuo mengine yanasubiriwa ili mambo mengine
yasonge mbele. Kuna mtu anakusubiri we baraka kwake, kuna mtu anakusubiri useme neno la baraka kwake. Kuna watu wanakusubiri ili ndoto zao zitimie.
Usijione mdogo. Usijidharau. Wewe ni mkubwa kuliko unavyojifikiria.
Kabla ya mafunuo kuja, kuna mateso utakayoyapitia. Yesu alipokuwa ulimwenguni, sio watu wote waliofunuliwa na kutambua
kuwa ni masihi. Kwa sababu sio wote walikuwa wamefunuliwa. Mungu atusaidie. Mambo yaliojificha kwetu yakapate kufunuliwa kwetu, katika jina la Yesu.
Luka 4:25

14/07/2017

Kibali na neema
Kibali ni upendeleo. Kuna watu hata waache kazi, kazi itawafuata nyumbani. Kibali kinaweza kukaa kwenye kitu au vitu. Kibali kinaweza kukaa kwenye zawadi(Mwanzo 33:8, Mithali 18:22)Kibali kinakaa kwenye maneno ya mtu(Zaburi 19:14). Kibali pia kianaweza kukaa kwenye watu wanaokuangalia(Esta 8:5). Sadaka unayoitoa inayo kibali.
Kuna aina kadha wa kadha za vibali nayo ni:
1. Kibali kwa Mungu
2. Kibali kwa watu. (1 Samweli 2:26)
3. Kibali ugenini (Ruthu 2:10)
Lakini pamoja na kuwa na kibali, ili mazuri zaidi yafanyike au kibali kidumu, panahitajika kuwa na neema. Mtu anaweza kuwa na kibali lakini amepungukiwa na neema. Tunahitaji kibali na neema. Tunaomba vibali na neema kutoka kwake ambaye mema yanatoka.

Favor and Grace
Favor from God can make one do great things. One may quit their job but tghe job would follow them to their house. Favor stays in the things that surround us. Favor can be from the gifts that we receive from people. (Genesis 33:8, Proverbs 18:22)
Favor stays in a person's word of mouth(Psalms 19:14). People who you are around can also be responsible for your being favored. One other thing that favor stays in is the offering that we give in church.
Types of favors
1. Favor from God.
2. Favor from people
3. Favor where you are a visitor(Ruth 2:10)
But together with getting to be approved, we need grace to for the favor to last. Someone may be favored but they may not have grace in their life. We need favor and grace. We pray for favor and grace from Him who is the source of all good.

09/07/2017

KUTUBU NI UREJESHO

Hagai:2.9
Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema Bwana wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema Bwana wa majeshi. ..........NATAKA UJUE KUWA KUZALIWA KWENYE FAMILIA YA KIKRISTO HAKUKUFANYI KUWA MKIRSTO AU KUWA MTOTO WA MCHUNGAJI HAKUKUFANYI KUWA MTOTO WA MUNGU WALA KUSALI SANA NA KUOMBA SANA HAKUKUFANYI KUWA MTOTO WA MUNGU.... BALI KUUTOA UTU WA KALE NA KUUVAA UTU UPYA ULIYO KATIKA YESU KRISTO KWA IMANI NDIO FUNGU JEMA....ADAMU KABLA HAJAMWASI MUNGU, ALIZUNGUKWA NA UTUKUFU NA UPENDO WA MUNGU BABA... LAKINI BAADA YA KUASI ALIJIONDOLEA UTUKUFU WA MUNGU...NA IKAWA MWANZO WA MAISHA YA KUTANGA TANGA ...NATAKA UJUE KUWA KILA MWANADAMU AMEAMBUKIZWA UOVU KWASABAU YA KUASI KWAKE ADAMU....LAKINI YESU KRISTO ALIKUJA KUTUFUNULIWA NI NAMNA GANI ADAMU ALITAKIWA AISHI ILI AMPEMDEZE MUNGU NDIO MAANA YESU ALIISHI MAISHA MATAKATIIFU JAPO ALIJARIBIWA LAKINI HAKUKUTENDA DHAMBI ....KWAKUWA HAKUTENDA DHAMBI BASI KWA IMANI WALE WOTE WALIOMKUBALI YESU WANAAMBUKIZWA UKAMILIFU NA UTUKUFU KWAKUWA MUNGU ALIMTOA YESU K**A MPATANISHI WA NAFSI ZETU NA MUNGU BABA...........NENO MSINGI NATAKA UJUE KUWA BAADA YA KUTUBU MAISHA YAKO YATAKUKUWA BORA NA IMARA ZAIDI YA KIPINDI CHA GIZA LAKINI PALE UMEAMINI MOYONI PASIPO SHAKA NA UMEJITAKASA, MOYO UMETIMILIKA K**A MOYO WA KRISTO NDIPO UTAWEZA KUIPA ARDHI ISIYO ZAA MATUNDA BIASHARA ISIYOZAA FAIDA, MKE TASA ATAZAA MAPACHA, AU ELIMU NDOGO UTAPATA KAZI KUBWA, MTAJI KIDOGO UTAFANYA BIASHARA KUBWA ... KWASABABU IMANI NDIO UFUFUO WA KWANZA WA MOYO WA MWANADAMU PASIPO IMANI KUWA NDANI YAKO WEWE NI MAREHEMU HATA K**A UNAPUMUA.....

2 Mambo ya Nyakati:7.13
Nikizifunga mbingu isiwe mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwapelekea watu wangu tauni;
14 ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.....MPANGO WA MUNGU NI KUMUONA MWANADAMU ANASTAWI LAKINI USTAWI WAKO UPO NDANI YA MAAMUZI YAKO, MUNGU AMEWEKA MBELE YAKO MAMBO MAWILI MEMA NA MABAYA ...NI JUKUMU LAKO MWENYEWE KUCHAGUA MEMA UISHI KWA MAFANIKIO MAKUBWA AU UCHAGUE MABAYA UFE KWA MATESO MAKUBWA..........RAFIKI NENO LINASEMA UKIKUBALI NA KUTII UTAKULA MEMA YA NCHI ....NI WAKATI HUU WA KUTUBU..........USIWAZE KUWA KUTOZAA KWAKO AU KUANGAIKA KWAKO KUPATA KAZI AU KUTOFANIKIWA KWAKO AU KUFUNGWA KWAKO CHANZO NI YULE BIBI AU BABU MCHAWI NATAKA NIKWAMBIE UKWELI MATESO YAKO YANALETWA NA KUTOTII SAUTI YA MUNGU NA TAMAA ZA MOYO WAKO.... UNAROGWA KWAKUWA HUNA YESU SIO KWASABABU WACHAWI WAPO ...WACHAWI WAPO ILI UWASHINDE SIO WAKUSHINDWE...

MKARIBISHE YESU MOYONI UONE NEEMA KUBWA NA BARAKA KUBWA ALAFU ONDOKA NJIA PANDA YAANI KUWA MTU WA NIA MBILI NI SALAMA SANA KUSIMAMA NA KUSUDI LA MUNGU.....UKIWA NDANI YA YESU...

07/07/2017

UBATIZO NI NINI?
Ubatizo ni agano na makubaliano kati ya Mungu na mwanadam.
Uwezi kubatizwa bila kujua kanuni za wewe kubatizwa ama wewe bila kujitambua.
Napia kuna ubatizo tofauti tofauti kuna ubatizo wa maji mengi na wakunyunyiziwa maji
Ubatizo wa kunyunyiziwa ni maalum kwa watoto kwa maana wanakua hawaja tambua mema na mabaya
Naubatizo wa maji mengi ni pale mtu anakua tayali anajitambua na ndio maana yesu alisema mtu hatoiona
Mbingu k**a hajazaliwa mala ya pili yaani unapo batizwa kwa maji mengi.
UNAPO BATIZWA YA PASA KUJUA HAYA.
(1)Ubatizo ni mtu kuziungama zambi zake.
(2)Kufungua na kufunguliwa mbingu.
(3)Ubatizo ni Mungu kukutangaza wewe kuwa ni mtoto wake.
(4)Ubatizo ni ujazo wa roho mtakatifu.
(5)Kubatizwa ni kufa na kufufuka na yesu.
UFUNUO JUU YA KUBATIZWA
YOHANA 3:1
Ufunuo wa kwanza MWANZO 1:1
Nikuludi kwenye asili WAKOLOSAI 2:10
Kubatizwa ni kununuliwa kutoka katika ufarme wa giza.

07/07/2017

Baptism is the covenant and the agreement of God and human beings.
You can't be kubatizwa without knowing the rules of you, you will be kubatizwa or you don't
Also have a different baptism, there is a baptism of a lot of water and wakunyunyiziwa water.
The Baptism of kunyunyiziwa is special for children because they are never seen that you have not seen anything.
The Naubatizo of a lot of water is when someone becomes ready to be anajitambua and that is why Jesus said someone.
Heaven if you will be hajazaliwa the second times that you are batizwa in a lot of water.
When you are the batizwa of cash to know these.
(1) Baptism is a person who will be given his sins.
(2) opening and opening heaven
(3) Baptism, God is to be kukutangaza, you are his child.
(4) Baptism is cubic of Holy Spirit.
(5) Kubatizwa is dying and resurrection and Jesus.
Revelation on the kubatizwa.
Yohana 3:1
First Revelation 1:1 1:1
Nikuludi kwenye asili wakolosai 2:10
Kubatizwa is a bought from the darkness.

05/07/2017
Mcha Mungu usiogope, ulinzi wa Bwana uko pamoja nawe."Malaika wa BWANA hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao, na kuwaokoa...
05/07/2017

Mcha Mungu usiogope, ulinzi wa Bwana uko pamoja nawe.

"Malaika wa BWANA hufanya kituo, Akiwazungukia wamchao, na kuwaokoa" (Zaburi 34:7).

Tazama, jicho la BWANA li kwao wamchao, wazingojeao fadhili zake, Yeye huwaponya nafsi zao na mauti, na kuwahuisha wakati wa njaa" (Zaburi 33:18-19).

"Ndipo Danieli akamwambia mfalme, Ee mfalme, uishi milele. Mungu wangu amemtuma malaika wake, naye ameyafumba makanwa ya simba, nao hakunidhuru; kwa kuwa mbele zake mimi nalionekana kuwa sina hatia; tena, mbele yako, Ee mfalme, sikukosa neno" (Danieli 21-22).

05/07/2017

JINSI GANI KIJANA ASAFISHE NJIA YAKE
Timotheo 4:11 Zaburi 119:9
Kijana anapookoka anabadilika katika kila namna.
Unapookoka unabadilika kuanzia mwili, akili mpaka nafsi.
Kitakacho kufanya ubarikiwe ni matendo yako
NAMNA YA KUBADILIKA
*Mwonekano wako lazima ubadilike.
*Kauli yako haitafanana na mtu ambaye ajaokoka.
*Mavazi yako hayatafanana na mtu ambaye ajaokoka.

Ubatizo ni agano na makubaliano kati ya Mungu na mwanadam.Uwezi kubatizwa bila kujua kanuni za wewe kubatizwa ama wewe b...
04/07/2017

Ubatizo ni agano na makubaliano kati ya Mungu na mwanadam.
Uwezi kubatizwa bila kujua kanuni za wewe kubatizwa ama wewe bila kujitambua.
Napia kuna ubatizo tofauti tofauti kuna ubatizo wa maji mengi na wakunyunyiziwa maji
Ubatizo wa kunyunyiziwa ni maalum kwa watoto kwa maana wanakua hawaja tambua mema na mabaya
Naubatizo wa maji mengi ni pale mtu anakua tayali anajitambua na ndio maana yesu alisema mtu hatoiona
Mbingu k**a hajazaliwa mala ya pili yaani unapo batizwa kwa maji mengi.
UNAPO BATIZWA YA PASA KUJUA HAYA.
(1)Ubatizo ni mtu kuziungama zambi zake.
(2)Kufungua na kufunguliwa mbingu.
(3)Ubatizo ni Mungu kukutangaza wewe kuwa ni mtoto wake.
(4)Ubatizo ni ujazo wa roho mtakatifu.
(5)Kubatizwa ni kufa na kufufuka na yesu.
UFUNUO JUU YA KUBATIZWA
YOHANA 3:1
Ufunuo wa kwanza MWANZO 1:1
Nikuludi kwenye asili WAKOLOSAI 2:10
Kubatizwa ni kununuliwa kutoka katika ufarme wa giza.

Mithali 19:15>Mungu hapendezwi na mtu kigeugeu.>Kijana hapaswi kuwa mvivu wa maombi au mvivu wa kazi ya Mungu.Mithali 20...
01/07/2017

Mithali 19:15
>Mungu hapendezwi na mtu kigeugeu.
>Kijana hapaswi kuwa mvivu wa maombi au mvivu wa kazi ya Mungu.
Mithali 20:4
>Aliye okoka anapenda kuonywa na anakuwa mnyenyekevu
>Unatakiwa ujenge muda wako wa maombi na ujue ni aina gani ya maombi.
>Kijana usiwe mvivu wa maombi na unatakiwa ujenge siku za maombi ya kufunga.
>Kijana panga vyema msingi wa maisha yako hata katika uzao wako na pia ukipata mtoto atakuwa katika misingi ipi.

Address

Kihonda-Msamvu
Morogoro

Telephone

+255682848364

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when STAN Bible online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to STAN Bible online:

Share