Utoto Mtakatifu St Agnes Morogoro

Utoto Mtakatifu St Agnes Morogoro Watoto wa Yesu
Kumjua Mungu
Kutunza Maadili na Mazingira.

UMISIOSIONARI

Ni Watoto Wa Utoto MtakaKutoka
Parokia Teule ya Mtakatifu Agnes Area Six Nanenane
Morogoro Tanzania

Simu namba 0618391519
WhatsApp 0762169917
[email protected]

01/05/2026

Sala..

01/05/2026

Parokia zikumbuke kutenga
maeneo ya Michezo Kwa watoto.
Inavutia pia ni Afya.

22/04/2026

Kwa wale mliopitwa na hii

21/04/2026

Story za Hapa na pale
Huleta furaha upendo

01/04/2026

.Sikiliza..

30/03/2026

Tulitimiza wajibu wetu
kusindikiza Tafakari ya Mateso

Asanteni wageni mliokuja.

Sauti ya kimisionariSauti ya uinjilishaji Matawi2026
30/03/2026

Sauti ya kimisionari
Sauti ya uinjilishaji

Matawi
2026

30/03/2026

Akawa mtii hata Mauti
Nàam Mauti ya Msalaba.

Matawi 2026

28/03/2026

in
Ilula Iringa

Marafiki zetu Utoto Mtakatifu Parokia ya Mtakatifu Paulo Ilula nao wanafurahia wimbo wa Mfalme wa Utukufu na wametuambia Wataimba Jumapili ya Matawi.

Mfalme Mtukufu Awe nanyi mdumu katika Umisionari
Tunawapenda.🥰🥰🙏

27/03/2026

Ni halisi k**a ilivyorecodiwa.

Real Feelings for


Hawa ni Watoto wamisionari Kutoka Ilumya
Jimbo jipya Bariadi🥰🥰✅🌹🙏

27/03/2026

Halafu Kumbe Mfalme Mtukufu Ukiunga na Mkatoliki inanoga sana.

Ni ufundi wenu tu wa kubadilisha gia hewani.

Yaani kuhama funguo.

Matawi 2026 na



Address

Area Six
Morogoro

Telephone

+255672906201

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Utoto Mtakatifu St Agnes Morogoro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Utoto Mtakatifu St Agnes Morogoro:

Share