02/08/2026
*HABARI NJEMA KWA WANAOHITAJI KUFIKA NA KUSHIRIKI IBADA NASI KILA JUMAPILI NEWLAND*
_Karibu sana ndugu Jamaa na rafiki Zangu!_
Jumapili hii tunakukaribisha tushirikiane kumwabudu Bwana RISEN CHRIST GOSPEL β NEWLAND (RCG).
Njoo upokee Neno la Mungu, maombi na ushirika wenye kujenga imani yako.
π `USAFIRI UTAKUWEPO.`
π Kwa Madaraka: Saa 2:30 Asubuhi
π Polisi Mzambarauni: Saa 2:50 Asubuhi
π Ibada: Saa 3:00 Asubuhi β Saa 6:30 Mchana
π `Mawasiliano: 0719 727 200`
Karibu sana! Bwana amekuandalia baraka. Usikose mkaribishe na mwingine pia.
*NITAFURAHI SANA KUKUONA*