Al aghbary khyriyyah association

Al aghbary khyriyyah association Is an existing institution located in Tanzania based in Morogoro Region.

Its mission is to help orphans and vulnerable children by providing them with education, food, clothing and ensuring that they receive the best possible care for their caregivers.

03/04/2022

Tunatakiwa kutafakari Maneno haya sana. Na kujiandaa

*Asalaam alyekum warahmatullah wabarakatuh.**Ndugu zangu tumebaki na siku chache tuingie kwenye mwezi wa RAMADHAN. K**a ...
02/04/2022

*Asalaam alyekum warahmatullah wabarakatuh.*
*Ndugu zangu tumebaki na siku chache tuingie kwenye mwezi wa RAMADHAN. K**a kawaida yetu inapo fika mwezi wa RAMADHAN tunafutulisha yatima na Wajane.*
*Tunaweka orodha ya maitaji*

*TUNAIDADI YA WATOTO 80 NA WAJANE 30*

*1. Viazi mbatata Gunia 8* kwa gunia moja ni TSH 60000 x 8 = 480000/=

*2. Mafuta dumu 6* Dumu moja ni 120000 x 6 = 720000/=

*3. Sukari mifuko 7* mfuko mmoja 56000 x 7 = 392000/=

*4. Tambi box 20* Box Moja 37000 x 20 = 740000/=

*5. Mchele kg 550* kilo moja ni 2000 x 550 = 1100000/=

*6. Sabuni box 6* Box Moja ni 65000 x 6 = 390000/=

*7. Chumvi caton 5* Kila caton 10000 x 5 = 50000/=

*8. Vidumu vya kujazia mafuta 110* Kila Moja 1100 x 130 = 143000/=

*9. Mifuko 110* Dazen Moja 11500 x 4 = 46000/

*10. Maharàge kg 550* kilo moja ni 2200 x 1210000/=

*Unga wa sembe kilo 650* Kila kilo moja 1000 x 650 = 650000/=

*11. Ngano mifuko 15* Kila mfuko ni 42000 x 15 = 630000/=

Wanaomba ftari nao waweze kufunga mwezi wa RAMADHAN.

Ndugu zangu Kila mwenye nacho atoe.

Kwa mawasiliano zaidi
👇🏻
Mwenye kiti 0715309898
Katibu 0743938556

Tuma Sadaka Yako ya ftari kwenye nambaa👇🏻

Tigo pesa 0716525061

M-pesa. 0747258191

Jina- Al-Aghabary khayriyyah

NB Anayeweza futurisha biidhinillah yatima mmoja au mjane mmoja mahitaji ndo hayo.

*Hapo Kila yatima mmoja tumemkadiria atapata 83500 mahitaji yake*

Mafuta Lita 2
Mchele kg 5
Unga kg 5
Ngano kg 5
Viazi kg 5
Sukari kg 3
Maharàge kg 5
Chumvi pakt 3
Sabuni Miche 3
Hapo atakuwa Yatima hyu au mjane hyu amemaliza RAMADHAN yote.

20/03/2022

safari ilikuwa ngumu, wajumbe wote tulikuwa kwenye bajaji moja.
tukielekea kuwafanyia usaili watoto yatima, wajane na wasiojiweza katika kata kileka ambapo tumepokewa na kwenyekiti wa kata hiyo.
Alhamdulillah tumepata ushirikiano wa kutosha kutoka kwa mwenye kiti na tumeweza kufanya maojiano na familia tofauti tofauti.
haya yote ni kutambua kero zinazo wakumba wajane na watoto yatima.

tunachokuomba wewe k**a mdau katika hili ni mchango wako hata k**a ni 1000 tuma itasaidia kutatua changamoto za ndugu zetu

Tigo pesa - 0716 525061
M-pesa - 0747258191
Jina la akaunti litatoka: al aghbary khayriyyah association

Allah ndio mlipaji katika hili

Wimbi kumbwa la watoto wa mitahani linatokana na Yatima wanaokosa malezi na uangalizi na pia watoto wanaoishi katika mai...
17/03/2022

Wimbi kumbwa la watoto wa mitahani linatokana na Yatima wanaokosa malezi na uangalizi na pia watoto wanaoishi katika maisha magumu na mazingira hatari kutoka katika kaya zilizokuwa na ugumu wa maisha.
kwa kulitambua hili tatizo Taasisi ya al aghbary khayriyyah imeweka mikakati ya kuwatambua na kuomba kutoka sehemu tofauti tofauti waweze kuwasaidia kwa yale ambayo yanaitajika

Taasisi imejikisa kunusuru maisha ya watoto wenye mazingira magumu pamoja na wazazi au walezi wao, hivyo basi changia kadri unavyoweza katika hili.

unaweza changia kwa tigo pesa na m-pesa
+255747 258 191 AU +255716 525 061 jina la Akaunti Al aghbary khayriyyah association

17/03/2022
MOYO wa  upendo ni moja ya alama ya kheri ambayo inatakiwa binadamu wote kuwa nao. picha zilizopo hapo chini za matukio ...
17/03/2022

MOYO wa upendo ni moja ya alama ya kheri ambayo inatakiwa binadamu wote kuwa nao. picha zilizopo hapo chini za matukio tofauti tofauti ni watoto ambao wanakusanywa na taasisi kwa ajili ya kutambua matatizo yao na pia kushiriki nao chakula cha pamoja.
Taasisi ya al aghbary khyriyyah moja ya malengo yake na mipango mipango mkakati ni kuhakikisha watoto yatima na waliokuwa katika mazingira wanapata huduma sahihi. ...

A HEART of love is one of the hallmarks of goodness that every human being should have. The pictures below are of different events are children who are gathered by institutions to identify their problems and also to share a meal with them.
The al aghbary khyriyyah Institute one of its goals and strategic planning strategies is to ensure that orphans and vulnerable children receive proper care. ...

Is an existing institution located in Tanzania based in Morogoro Region.Its mission is to help orphans and vulnerable ch...
16/03/2022

Is an existing institution located in Tanzania based in Morogoro Region.
Its mission is to help orphans and vulnerable children by providing them with education, food, clothing and ensuring that they receive the best possible care for their caregivers.

Assalaam aleikum warahmatullah wabarakatuh, karibuni katika ukurasa wa taasisi hii ya watu wa kheyri kila mmoja anakarib...
16/03/2022

Assalaam aleikum warahmatullah wabarakatuh, karibuni katika ukurasa wa taasisi hii ya watu wa kheyri kila mmoja anakaribishwa kushiriki katika maswala ya kujitolea kuwalea watoto walio katika mazingira magumu

Address

Morogoro

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Al aghbary khyriyyah association posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share