25/03/2026
KAMBI YA VIONGOZI
Ni wakati wa kufundishwa na kuandaliwa kwa ajili ya huduma yenye matokeo!
Jiunge nasi ujifunze uongozi wa kiroho, nidhamu, na maono yatakayobadilisha maisha yako na wengine.
Usikose nafasi hii ya kipekee ya kukua na kuimarika!
📍 Mahali: Precious Centre Kibaha
Tarehe: 02- 05 Aprili, 2026
Kiongozi bora hutengenezwa na maandalizi sahihi — njoo ujengwe!