15/06/2025
Tumekua na ibada nzuri sana leo,,,
UJUMBE:ZIKATAE KELELE ZA ADUI MAISHANI MWAKO
usimsikilize adui anapokuzuia kufanya jambo,wewe simama na Mungu
Mhubiri alikua ni Mchungaji wetu Pastor OBADIA MWAKAPANGALA