10/08/2026
Bwana Yesu Asifiwe! Ndugu zangu Neno la Mungu linasema, Ni neno jema kumshukuru Bwana, Na kuliimbia jina lako, Ee Uliye juu. Zaburi 92:1... Ukisoma hapa utaona Neno la Mungu linasema ni neno kushukuru Mungu hakika na Mimi nasema Asante maana tumemaliza Semina hapa IGURUSI Jana na Leo tunaelekea UTENGULE tunahitaji maombi yenu na SADAKA zenu.