MORIA Temple TV -MT TV

MORIA Temple TV -MT TV Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from MORIA Temple TV -MT TV, Christian church, SIMIKE, Mbeya.

harusi ya Mtumishi Peter
25/06/2022

harusi ya Mtumishi Peter

HARUSI YA

22/12/2020

*TUNZA UTAKATIFU WAKO MAANA SIKU ZA HASIRA YA BWANA ZINAKUJA*

*_Acha wakucheke ila ajapo Bwana Yesu watakuelewa_*

Mwanzo 7 1
BWANA akamwambia Nuhu, Ingia wewe na jamaa yako yote katika safina; kwa maana nimekuona wewe u mwenye haki mbele zangu katika kizazi hiki.

Mwanzo 7 2
Katika wanyama wote walio safi ujitwalie saba saba, mume na mke; na katika wanyama wasio safi wawili wawili, mume na mke.

NAHISI NUHU ALIPO KUWA ANAJENGA SAFINA WATU WALIMUONA K**A AMECHANGANIKIWA, HIVYO NDIVYO WANAVYO KUONA LEO UKIENDA KANISANI WANAFIKIRI UNAPOTEZA MUDA, UNAPO MUHUDUMIA MUNGU WANAONA K**A UMEKOSA KAZI, WENGINE WANAKUITA MAJINA YAAJABU, ILA ACHA NIKUAMBIE UNAITENGENEZA SAFINA YAKO, MTU MMOJA ALIE ITWA NUHU ALIIPONYA FAMILIA YAKE, YAWEZEKANA LEO KUPITIA WEWE MUMEO/MKEO AKAOKOKA KATIKA JINA LA YESU, KUPITIA WEWE FAMILIA YAKO IKAOKOKA, USIONE UNAPOTEZA MUDA ILA JUA UNATENGENEZA SAFINA YAKO,......

*_share kwa watu 5, na Mungu ataibariki siku yako_*

Mtumishi Peter
+255743399960
Maombi na Ushauri

20/04/2020
20/03/2020

SIKU ITAKAYO TEKETEZA WENYE VIBURI, ASEMA BWANA WA MAJESHI
Malaki:4.1
Kwa maana, angalieni, siku ile inakuja, inawaka k**a tanuru; na watu wote wenye kiburi, nao wote watendao uovu, watakuwa makapi; na siku ile inayokuja itawateketeza, asema Bwana wa majeshi; hata haitawaachia shina wala tawi.
Malaki:4.2
Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mbawa zake; nanyi mtatoka nje, na kucheza-cheza k**a ndama wa mazizini.
Malaki:4.3
Nanyi mtawakanyaga waovu; maana watakuwa majivu chini ya nyayo za miguu yenu; katika siku ile niifanyayo, asema Bwana wa majeshi.
NDUGU YANGU MSHIKILIE MUNGU, SHIKILIA NEEMA ULIONAYO, KWAMAANA, SIKU HIZI NI MBAYA SANA, SIMAMA NA MUNGU SAWASAWA, FANYA MAPENZI YA MUNGU, USIJE UKATEKETEZWA PAMOJA NA WENYE VIBURI, ONA LEO MAMBO YAMEKUWA MENGI YA AJAMBU, MVUA ZA AJABU NA MAGONJWA YA AJABU, ILA YOTE HAYO HAYATA MGUSA MTU WA MUNGU ALIE SIMAMA KWELI KWELI, KWA MAANA AMELINDWA, SHIKILIA NEEMA ULIONAYO.

Mtumishi Peter
+255743399960
Maombi na Maombezi

Kila siku tunamuona Yesu, karibu nawewe kweviwanja vya mkutano, TAG moria temple simike
26/07/2018

Kila siku tunamuona Yesu, karibu nawewe kweviwanja vya mkutano, TAG moria temple simike

Address

SIMIKE
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MORIA Temple TV -MT TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share