Pst.elphace amoss Ministries

Pst.elphace amoss Ministries The only official Pst.elphas amoss page,is the page aimed to spread the gospel of christ globe.pst.elphas also is an author and gospel musician.

04/04/2025

KILE AMBACHO MTU HUKITOA KUKITOA HUNYESHA KIWANGO CHA UPENDO NA KUJALI.

30/06/2024

NJIA YA KUSIKILIZWA NA WENGINE NI KUWASIKILIZA WENGINE

19/12/2022

UGUMU WA MAFANIKIO SIO VIKWAZO VYA MAFANIKIO; BALI NI TABIA NGUMU BAADA YA MAFANIKIO.

Bwana huona upendo wako1.Ujaribiwapo.2.Umtoleapo.3.Ukaapo ktk neno
27/09/2021

Bwana huona upendo wako
1.Ujaribiwapo.
2.Umtoleapo.
3.Ukaapo ktk neno

19/12/2017

BWANA YESU ASIFIWE WAPENDWA:

TABIA YA KUTOA SHUKRANI KWA. BWANA
LUK17:11:19

TUNAPOTOA SADAKA YA SHUKRANI KWA BWANA TUNAONESHA USHIRIKA NA BWANA KATIKA MAMBO MAKUU ALIYO TUTENDEA KATIKA MAISHA KWA MAANA BWANA AMEWEZA KUKUTENDEA KWA KUKUPONYA,KUKUPA KAZI NA MAMBO MENGINE MAKUU.

FAIDA ZA KUTOA SHUKRANI

1:KUEPUKA LAWAMA KUTOKA KWA BWANA
mfano usipokuwa mwepesi wa kwenda kutoa shukrani unaweza kupata lahana kutoka kwa bwana mfano katika biblia pale YESU alipoweza kuponya watu lakini aliyekuja kutoa shukrani ni moja hivyo tuweze kutoa shukrani kwa mambo ambayo bwana ametufanyia katika MAISHA

inaendelea..........
BWANA AWABARIKI .

11/12/2017

BWANA YESU ASIFIWE .

soma ujumbe huu kwa makini na hata uurudie ili uelewe kisha jibu swali langu.

maandiko ya mungu amekuwa akitumia namba 40 na 70 kufanya badiliko la majira toka kizazi kimoja hadi kingine katika taifa la Israel. mfano
Katika biblia K*t 14:33,Yer 25:11 na Dan 9:2 na kuanguka kwa taifa hilo mwaka wa 70 miaka 40.Baada ya kupaa kwa YESU
Luk 21:24 na toka kuundwa kwa taifa la Israel mwaka 1948 had I sasa 2017 ni miaka 69 ni ambapo ndio Marekani imetangaza kuutambua Yerusalemu kuwa mji mkuu wa israel

JE UNAONA NINI NA UNAISI NINI KINATOKEA HAPO?.
BARIKIWA SANA NA M UNGU..........

Address

Mbeya

Telephone

+255767762072

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pst.elphace amoss Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Pst.elphace amoss Ministries:

Share