Sir Buyange

Sir Buyange Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sir Buyange, Mbeya.

27/07/2022

2022 tupatapo nafasi tuwakumbuke wasiojiweza na wenye maitaji

26/04/2022
03/10/2021

GENESIS ACADEMIC CENTRE.
Tunapenda kuwataarifu wazazi na walezi kuwa tunaendelea kupokea waitimu wa darasa la saba kwa ajili ya masomo ya PRE-FORM ONE , kwa masomo yafuatayo MATHEMATICS,CHEMISTRY,PHYSICS,BIOLOGY,ENGLISH,GEOGRAPHY and HISTORY. Ambayo tumeanza kufundisha kuanzia tarehe 13 september 2021,
Gharama zetu ni nafuu kabisa , FOMU ni sh 1000, ADA ni sh 13000 tu kwa miezi yote mitatu ambayo itapaswa itolewe pindi mwanafunzi anapoanza masomo. Na k**a ikikosekana pesa iyo , mwanafunz atapaswa kulipa sh 5000 kila mwezi. Pia kila jumamosi kutakuwa na mitiani miwili , ambapo kila mtiani ni sh 200. Wanafunzi 10 wenye maitaji maalumu hasa wasio na wazazi , pamoja na wale ambao wana wazaz au ndugu ila awana uwezo wa kulipia gharama ya ada , na wanaitaji kupata huduma hii ya pre-form one wafike watasoma bure kabisa.! GENESIS ACADEMIC CENTRE Tunapatikana karbu na uwanja wa airpoty wa zaman au karbu na chuo cha uhasibu (TIA)-MBEYA. Kwa mawasilian zaidi tuwasiliane kwa namba 0762518114 & 0783458568. Email: [email protected] karibu sana!!

Baadhi ya wanafunzi wa certificate na Diploma mwaka wa Kwanza karibuni Sana CUCoM
15/11/2020

Baadhi ya wanafunzi wa certificate na Diploma mwaka wa Kwanza karibuni Sana CUCoM

Kwa ngazi ya degree Usajili unaendelea,  kwa wahitimu wa form six Uwe na pass mbili tu .Karibu Sana kwa Elimu bola na ma...
12/09/2020

Kwa ngazi ya degree Usajili unaendelea, kwa wahitimu wa form six Uwe na pass mbili tu .

Karibu Sana kwa Elimu bola na maaadili mema.

Tuwasiliane zaid kwa :-
0714076896
0764622482

Karibu Sana Catholic University College of Mbeya (CUCoM)

Kwa watu pia wanaoitaji kusoma diploma usajili unaendelea,Tembelea www.cucom.ac.tzAu tuwasiliane zaid :-0714976896076462...
12/09/2020

Kwa watu pia wanaoitaji kusoma diploma usajili unaendelea,

Tembelea www.cucom.ac.tz

Au tuwasiliane zaid :-
0714976896
0764622482

Hakika Catholic University College of Mbeya (CUCoM) ni sehemu Sahihi kwako kwa Elimu .

Karibu Sana.

Karibu saana Catholic University College of Mbeya (CUCoM)Usajili unaendelea kwa wale wote walio na pass kuanzia Nne kwa ...
12/09/2020

Karibu saana Catholic University College of Mbeya (CUCoM)

Usajili unaendelea kwa wale wote walio na pass kuanzia Nne kwa matokeo ya Form Four , karibu Sana kwa maombi ya nafasi kwa program kede kede kwa ajili yako.

Tuwasiliane :-
0714076896
0764622482
0768341328
Au fika chuoni Mafiat mkabala na hotel ya Tughimbe-Mbeya.

Karibu saana,

Usajili unaendelea , umebaki wewe tu ,Karibu Sana Catholic University College of Mbeya (CUCoM).
12/09/2020

Usajili unaendelea , umebaki wewe tu ,

Karibu Sana Catholic University College of Mbeya (CUCoM).

Waheshimiwa , watarajiwa
28/08/2020

Waheshimiwa , watarajiwa

Address

Mbeya

Telephone

+255762518114

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sir Buyange posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Sir Buyange:

Share