Mt.leonard Simfukwe Ministries

Mt.leonard Simfukwe Ministries Huu ni moja ya kurasa maalum ya kukuletea taarifa mbali mbali za huduma.

27/02/2025

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! Hiki ni kipindi kipya ktk siku za mwisho.Kwa unyenyekevu mwingi tunawakaribisha Watu wa MUNGU KWENYE SEMINA HII YA MWILI WA KRISTO HAPA JIJINI MBEYA."....Neema hufanya kazi na wanyenyekevu, Kristo ndani yenu Tumaini la UTUKUFU...."KARIBU SANA, UKIPATA UJUMBE HUU MWAMBIE NA MWINGINE.(SHARE).OMBEA PIA KAZI HII YA UFALME WA MUNGU.

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! TUNAKUKARIBISHA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU HAPA JIJINI MBEYA.KARIBU SANA MTAARIFU  NA MWI...
21/12/2024

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! TUNAKUKARIBISHA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU HAPA JIJINI MBEYA.KARIBU SANA MTAARIFU NA MWINGINE.....Mungu humwongezea Nguvu asiye kuwa na uwezo..Isaya 40:29b. Njoo umalize Mwaka na Bwana na upokee nguvu mpya ya kukuwezesha huko uendako 2025.TUNAMWAMINI MUNGU ATAKUHUDUMIA KARIBU NA OMBEA SEMINA HII NI WIKI HII.

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE!. KARIBU SANA KWENYE KONGAMANO LA MAOMBI NA MAOMBEZI KWA MWILI WA KRISTO NA WATU WOTE.Hili ni ...
19/08/2024

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE!. KARIBU SANA KWENYE KONGAMANO LA MAOMBI NA MAOMBEZI KWA MWILI WA KRISTO NA WATU WOTE.Hili ni Kongamano la 7 la UAMSHO NA UREJESHO HAPA JIJINI MBEYA(Mkoa wa MBEYA).Ni kuanzia jumapili hii ya tar.25/08-01/09/2024.Ktk jengo la KANISA LA MORAVIAN-RUANDA karibu na hospital ya K's.KARIBU SANA MTU WA MUNGU, UNGANA NASI KWA MAOMBI KUOMBEA KONGAMANO HILI NA MTAARIFU NA MWINGINE(SHARE).MUNGU AKUBARIKI SANA

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! Tunakukaribisha kwenye KONGAMANO kubwa la NENO LA MUNGU NA MAOMBI,Kyela mjini -Mkoa wa Mbeya....
26/06/2024

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! Tunakukaribisha kwenye KONGAMANO kubwa la NENO LA MUNGU NA MAOMBI,Kyela mjini -Mkoa wa Mbeya.
Pata Nafasi ya kuisikiliza Sauti ya ROHO MTAKATIFU kwenye Kongamano hili ktk zamani hizi za siku za mwisho."....Kristo ndani yenu, Tumaini la UTUKUFU... Wakolosai 1:27". WOTE MNAKARIBISHWA NA SHARE TANGAZO HILI KUMPA TAARIFA MWINGINE NA BWANA AKUBARIKI,NA USISAHAU KUTUOMBEA.

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE!! TUNAKUKARIBISHA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU KWA WATU WOTE ILIYOANDALIWA NA KANISA LA PENT...
14/02/2024

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE!! TUNAKUKARIBISHA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU KWA WATU WOTE ILIYOANDALIWA NA KANISA LA PENTECOSITY HOLINESS ASSOCIATION MISSION TANZANIA-DODOMA.
HAYA NI MAJIRA YANAYOHITAJI MTEMBEO MPYA WA KIUNGU.
OMBEA MWILI WA KRISTO, OMBEA KAZI HII YA UFALME WA MUNGU- SHARE (SAMBAZA) KWA WENGINE HABARI HII.

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! TUNAKUKARIBISHA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU HAPA JIJINI ARUSHA-TANZANIA , KARIBU SANA UPAT...
29/11/2023

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! TUNAKUKARIBISHA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU HAPA JIJINI ARUSHA-TANZANIA , KARIBU SANA UPATE KUHUDUMIWA NA ROHO MTAKATIFU. UNGANA NASI KWA NJIA YA MAOMBI PIA.

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! WATU WA MUNGU WOTE KANDA YA ZIWA,MNAKARIBISHWA KWENYE KONGAMANO HILI LA UAMSHO NA UREJESHO KW...
28/09/2023

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! WATU WA MUNGU WOTE KANDA YA ZIWA,MNAKARIBISHWA KWENYE KONGAMANO HILI LA UAMSHO NA UREJESHO KWA MWILI WA KRISTO NA KWA WATU WOTE.NI BUNDA MJINI MKOANI MARA KWENYE JENGO LA KANISA LA PENTECOSTAL ASSEMBLIES OF GOD TANZANIA.PAG-KABARIMU.
,,, UNAWEZA KUSHARE ILI NA WENGINE WAPATE HABARI YA AGENDA YA UFALME,KARIBU KWA AJILI YA KUOMBEA PIA...!TUNAHESHIMU NAFASI YAKO AHSANTE KWA KUTUSHIKA MKONO WA SHIRIKA.

"THE VOICE OF REVIVAL" BWANA YESU KRISTO ASIFIWE!WATU WOTE WA MKOA WA MBEYA NA MIKOA MINGINE MNAKARIBISHWA KWENYE KONGAM...
18/08/2023

"THE VOICE OF REVIVAL"
BWANA YESU KRISTO ASIFIWE!
WATU WOTE WA MKOA WA MBEYA NA MIKOA MINGINE MNAKARIBISHWA KWENYE KONGAMANO HILI LA 6 LA MAOMBI NA MAOMBEZI NI "KONGAMANO LA UAMSHO NA UREJESHO" Mahali JIJINI MBEYA-Kwenye JENGO LA KANISA LA MORAVIAN RUANDA Karibu na K's Hospital.27th August-03 September 2023.
"In his presence we become ALIVE"
Kila mtu na Asikie Mbiu hii kwa ajili ya KANISA,FAMILIA NA TAIFA.Ombea kazi hii ya UFALME NA WATAARIFU WENGINE.

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! HILI NI KONGAMANO LA MAOMBI LENYE MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU NDANI YAKE! WATU WOTE WA WILAYA...
03/07/2023

BWANA YESU KRISTO ASIFIWE! HILI NI KONGAMANO LA MAOMBI LENYE MAFUNDISHO YA NENO LA MUNGU NDANI YAKE! WATU WOTE WA WILAYA YA KYELA NA MKOA MZIMA WA MBEYA MNAKARIBISHWA ktk UTUKUFU WA SIKU ZA MWISHO(MAANDALIZI YA UAMSHO MKUU UNAOUJIA ULIMWENGU KTK SIKU ZA MWISHO). Wote mnakaribishwa! 02-09/07/2023.(KUWA MTU MWINGINE NDANI YA UWEPO WA BWANA). Mtaarifu na mwingine.! Mungu akubariki kwa kutuombea

TAARIFA MUHIMU NA MAALUM KUTOKA KTK OFISI ZA SERIKALI YA MBINGUNI.TAREHE 01/07/2023 JUMAMOSI HII,KUTAKUWA NA IBADA MAALU...
27/06/2023

TAARIFA MUHIMU NA MAALUM KUTOKA KTK OFISI ZA SERIKALI YA MBINGUNI.
TAREHE 01/07/2023 JUMAMOSI HII,KUTAKUWA NA IBADA MAALUM HAPA JIJINI MBEYA ITAYOAMBATANA NA KUSIFU NA KUABUDU KTK ROHO NA KWELI KUTAKAKOONGOZWA NA BOAZ DANKEN KUTOKA MWANZA.
NDANI YA IBADA KUTAKUWA NA KUKIWEKA WAKFU KITABU KIITWACHO."KUWA MTU MWINGINE" VITABU HIVYO VITAPATIKANA KWA BEI TSH.25,000/=@,

IBADA ITAANZA SAA 7:00 MCHANA KTK JENGO LA KANISA LA KKKT-RUANDA NYUMA YA KABWE STAND.
KUNA NAMNA YA ROHO MTAKATIFU NA UTUKUFU MPYA WA SIKU ZA MWISHO.NJOO UHUISHWE ,NJOO UWE MTU MWINGINE" 1Samweli 10:6-7.
"Wewe ni mbarikiwa,mtaarifu na mwingine"

TAFAKARI!
06/04/2023

TAFAKARI!

Address

Sokoine Street
Mbeya
53###

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mt.leonard Simfukwe Ministries posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Mt.leonard Simfukwe Ministries:

Share