Africa inland church pastolati masumbwe

Africa inland church pastolati masumbwe kujulisha wakristo matukio mbalimbali ya kikanisa ya mhimu ndani pastoreti na kueneza neno la MUNGU katika ama wa watanzania na Dunia nzima

Permanently closed.
13/02/2024
13/02/2024
13/02/2024

Bwana Yesu asifiwe

Mwaka 2024 tunakutakia kila Jambo jema kwa mwaka huu Mungu akupe Neema na kibari katika mipango yako yote utembee na Bwa...
16/01/2024

Mwaka 2024 tunakutakia kila Jambo jema kwa mwaka huu Mungu akupe Neema na kibari katika mipango yako yote utembee na Bwana katika kazi zako zote akupitishe yeye kila utakapo enda kwa jina la Yesu wa Nazareti na ufanikiwe katika mwili na roho pia afya yako aitunze akuponye na akupe kumiliki milango ya Aduwi kwa kila Jambo mtangulize yeye kwanza kwa maombi na shukurani Ameni

17/05/2023

Askofu nkola Hatuko naye tena

05/04/2023

Tr 16/7/2023 ni siku ya kihistoria kanisan tutakuwa na HARAMBE KUBWA ya ukamilisahaji ya jengo la kuabudia ni ndani ya viwanja vya kanaisa la AICT masumbwe

Address

Slp 22 Masumbwe
Masumbwe

Telephone

+255769407183

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Africa inland church pastolati masumbwe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share