JUU YA mwamba ministry

JUU YA mwamba ministry Juu ya mwamba HUU nitalijenga kanisa na wala milango ya kuzimu haitalishinda.(mathayo 16:18)

24/04/2023

Wandugu kwema?niwatakie uck mwema!

09/06/2020

MBARIKIWE WAPENDWA WANGU WOTE

04/06/2020

Basi yoyote myatakayo mtendewe na watu, nanyi watendeeni vivyo hivyo; maana hiyo ndiyo torati na manabii. Hili lilikuwa ni 1 ya agizo la Yesu.Je! Kweli ndivyo ilivyo kwa watu Wa Mungu Leo?(mathayo 7:12)

08/03/2020

Acha kupiga kelele,ww huna mfalme anayeweza kuamuru tu na mambo yaende?hata k**a unapitia wakati Wa uchungu kubali kutaabika kwani ndio unaelekea kuzaa.Bwana atakukomboa maana ana mawazo mazuri juu yako.(mika 4:9-12).

30/01/2020

Jina la Bwana ni ngome imara,mwenye haki ulikimbilia akawa salama

21/01/2020

Maisha yako ili yaweze kwenda vyema ni muhimu ujue kuwa zipo NGOME zimewekwa KTK maisha yako.ngome kubwa ya kwanza inazuia mawazo yako ili kukuzuia usione njia.maisha yako yote yamebebwa na namna unavyowaza.hivyo ulivyo imetokana na aina ya mawazo yako.pambana na ngome hizo ili zibomolewe na utapata mpenyo KTK maisha.ngome ni k**a ukuta mkubwa uliowekwa KTK ulimwengu Wa roho na shetani kukuzuia usiingie KTK mafanikio yako.(2wakorintho 10:3-5)

Hakuna nyumba bila mlango.hii ndiyo njia pekee unayotumia ili kuingia au kutokua ndani ya nyumba huyo.huwa tunapita kwen...
15/12/2019

Hakuna nyumba bila mlango.hii ndiyo njia pekee unayotumia ili kuingia au kutokua ndani ya nyumba huyo.huwa tunapita kwenye mlango ili kwenda kule tutakapo.mwili wako ni saw na nyumba na mdomo wako ndio mlango mkuu wa kupita na kukupeleka kule unakokwenda kwa maneno yako unayokiri.kuwa makini ktk kusema kwako.(mhubiri 6:7 mithali 18:20-21)

Address

Kibedange
Makambako

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JUU YA mwamba ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to JUU YA mwamba ministry:

Share