FPCT Magole Kati

FPCT Magole Kati Kuhubiri Injili kamili ya Yesu na kuwafungua watu waliofungwa. Marko 16:15

Sunday service  thanks for coming my brother Mzee Fungamtama na mke wako ujumbe uliotuachia ulikuwa ni wa wakati- Chague...
11/05/2026

Sunday service thanks for coming my brother Mzee Fungamtama na mke wako ujumbe uliotuachia ulikuwa ni wa wakati- Chagueni hivi Leo mtaye mtumikia Mimi na Nyumba yangu nitamtumikia BWANA ( Joshua 24.15)

Jehova Shammar- FPCT MAGOLE KATI , Mungu ni Mwema hongerani sana kwa kuhitimisha wiki la UWW kitaifa kwa kishindo
21/04/2026

Jehova Shammar- FPCT MAGOLE KATI , Mungu ni Mwema hongerani sana kwa kuhitimisha wiki la UWW kitaifa kwa kishindo

Nitayashika maagizo Yako Yesu BWANA wa pasaka !!! Unikumbuke.kwenye Ufalme wako Yesu ndilo ombi langu siku zote ,kumbuka...
06/04/2026

Nitayashika maagizo Yako Yesu BWANA wa pasaka !!! Unikumbuke.kwenye Ufalme wako Yesu ndilo ombi langu siku zote ,kumbuka na watu wako taifa la BWANA!!!

Mungu akubariki sana mch Kiongozi Josia Singu pamoja bazara la wazee na kanisa lote la chamanzi kwa kunishirikisha huduma ya pasaka na kula pasaka pamoja Mungu awabariki sana nimebarikiwa sana na kazi nzuri , inayoendelea na huduma zote za kanisa

Nitawakumbuka daima kwenye maombi yangu

Nikasikia Sauti kuu Kutoka kwa Mtumishi wa Mungu na mwalimu Elly ,k**a mvumo wa maji mengi ikisema Utafuteni kwanza Ufal...
30/03/2026

Nikasikia Sauti kuu
Kutoka kwa Mtumishi wa Mungu na mwalimu Elly ,k**a mvumo wa maji mengi ikisema Utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu watu wa Magole kati ,BWANA atawazidishia hayo mengine myatakayo! Ghafla maneno yale yaliingia kwa Kasi moyoni mwangu ,nilibidi nikae vizuri na kutenga masikio yangu nipate kusikia tena, aliongeza yakusema Ufalme wa Mungu tunautafuta kwa kufuatilia Neno la Mungu Kila siku na kulisoma maana huko ndiko unaweza kujua habari za Ufalme ule,kuuchungaza na kupeleleza ,Lazima kuulewa na kujifunza juu ya Ufalme wa Mungu Mwisho alisema ni vizuri kuzingatia kuhusu maelekezo ya Ufalme wa Mungu,

Alihitimisha kwa kutoa wito kuwa watu wa Mungu kufanya yale kumtafuta Mungu kwanza na mengineyo BWANA atafanya.

Amen

Injili ya Yesu inahubiriwa hapa watu wanafunguliwa hapa ,amani inapatikana hapa! Urejesho na Kurejeshewa hapa ! Yesu ana...
23/03/2026

Injili ya Yesu inahubiriwa hapa watu wanafunguliwa hapa ,amani inapatikana hapa! Urejesho na Kurejeshewa hapa ! Yesu anaweza karibu UABUDU nasi next Sunday
Injili

Follow up us !Whatsapp no 0754 316871

Nikiwa katika ziara ya moja ya matawi yetu kazi mpya Efeso tar 15.03.2026 ,Nilifurahi sana kuona mbegu ya injili iliyopa...
18/03/2026

Nikiwa katika ziara ya moja ya matawi yetu kazi mpya Efeso tar 15.03.2026 ,Nilifurahi sana kuona mbegu ya injili iliyopandwa ikiendelea kustawi ,hapo nikiwa na mchungaji Yusto Zaburi na mke wake Agnes Zaburi na waimbaji wa Neema kwaya kutoka Magole kati,mwimbaji mwalikwa Mmasai ilikuwa baraka sana "Basi tuna usemi Moja hivi "Acha iwe Maombi "

23/02/2026
Yesu ,unaweza sana Jumapili ya Hitimisho la maombi ya kitaifa FPCT MAGOLE KATI Mungu ukatende zaidi 🔥 Yoh 14:12
16/02/2026

Yesu ,unaweza sana
Jumapili ya Hitimisho la maombi ya kitaifa FPCT MAGOLE KATI Mungu ukatende zaidi 🔥
Yoh 14:12

Christian hunters movements FPCT Magole kati (Rum 1:14-16)
10/02/2026

Christian hunters movements FPCT Magole kati (Rum 1:14-16)

Warumi 1:16Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kw...
02/02/2026

Warumi 1:16
Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.

gospel with Christian hunters
1Feb2026 FPCT MAGOLE KATI

Come back to Jesus # Welcome to worship together

Mw 47.9Safari ya Imani na kumtaza Yesu Kila safari Ina maelekezo yake unapoinza,Ili ufike salama hauna budi kufuata MAEL...
26/01/2026

Mw 47.9
Safari ya Imani na kumtaza Yesu
Kila safari Ina maelekezo yake unapoinza,Ili ufike salama hauna budi kufuata MAELEKEZO
Mf. Ukikata ticket ya safari huwa Kuna maelekezo muhimu kati ya hayo maelekezo ni Abiria Chunga mzigo wako, ukichelewa nauli yako haitarudishwe ,funga mkanda kwa Usalama wako na mengineyo.Hivyo hivyo katika safari ya mbinguni ina maelekezo yake kwa kupitia Neno la MUNGU

Zingati hii na ipo .Hosea 4:6 watu wangu wanangamia kwa kukosa maarifa ,ndio kusema wanayakata maelekezo

Soma Maelekezo fuata maelekezo

Karibu FPCT MAGOLE KATI ,tusafiri pamoja

Address

Magole
Magomeni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FPCT Magole Kati posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to FPCT Magole Kati:

Share

Category