Irshad Islamic Center

Irshad Islamic Center Kituo cha IRSHAD kinatowa taaluma za dini ya kislam,Lugha ya kiarabu na kingereza,na utoaji wa Elimu

10/11/2016

بسم الله الرحمن الرحيم
الحمدلله رب العالمين والصلاة والسلام على اشرف الخلق سيدنا وقدوتنا محمد صلى الله عليه واله وصحبه وحزبه وسلم
وبعد:احب الصالحين ولست منهم ولكن من تشبه بقوم ربما يكون منهم وبمنزلة تربة نعال اقدامهم.فرغنا الاختبارات يوم الاربعاء ساعة 1:50 قبل الاذان لصلاة العشاء فى مركز الارشاد اسلامي التقانية لشوتو تنغا تنزانيا لعام 1438ه الموفق لعام 2016م دور الاول.

Wanafunzi wa Irshad wapo kwenye mtihani wa hadithi wanamalizia malizia Mungu tupe muongozo
09/11/2016

Wanafunzi wa Irshad wapo kwenye mtihani wa hadithi wanamalizia malizia
Mungu tupe muongozo

Wanafunzi wa darasa LA sita Madrasa ya irshad Leo wako kwenye mtihani wa tauhiid mungu awasahilishie
09/11/2016

Wanafunzi wa darasa LA sita Madrasa ya irshad Leo wako kwenye mtihani wa tauhiid mungu awasahilishie

Wanafunzi wa Irshad wakiwa katika mtihani wao wa muhula wa kwanza
08/11/2016

Wanafunzi wa Irshad wakiwa katika mtihani wao wa muhula wa kwanza

Assalaamu alaikumWanafunzi wa irshad ndani ya chumba cha mtihani .mhula wa kwanza mwaka 1438 صفر/2016  DEC  mungu awabar...
08/11/2016

Assalaamu alaikum
Wanafunzi wa irshad ndani ya chumba cha mtihani .mhula wa kwanza mwaka 1438 صفر/2016 DEC mungu awabari

06/11/2016

Tukiwa katika khitma ya Mzee Ali Salim Shemtembo
mola amueke pema peponi kwani alikua ninguzo muhimu ya Irshad

السلام عليكم ورحمةالله وبركاتهTunakuusia ndugu yetu kufanya ibada na kutubia kwa wakati uliokuwa nao sasa .Unapochwewa F...
16/10/2016

السلام عليكم ورحمةالله وبركاته
Tunakuusia ndugu yetu kufanya ibada na kutubia kwa wakati uliokuwa nao sasa .
Unapochwewa Fanya haraka ya kutubia usisubiri ukasema nitatubu kesho patiliza wakati uliokuwa nao sasa .niwanadamu wangapi wamepambaukiwa yaani wameipata asubuhi lakini hakufisha jioni .ishi katika dunia k**a mpita njia au mgeni kwani mpita njia bilashaka kunasehemu amekusudia,na k**a nimgeni bilasha utarudi ulikotoka na bila upinzani sisi site twatoka kwa mwenyezi mungu tataulizwa tuliofanya hapa dunian tufanye haraka ya kutubia kwani hatujui tutaishi muda gani
Haya ni machache yenye faida
Wabillaahi taufiiq

السلام عليكم ورحمةالله وبركاتهTunamshukuru mwenyezimungu kwa kutujaalia kuswali alfajiri ya Leo jumaapiliNa kuendelea na...
16/10/2016

السلام عليكم ورحمةالله وبركاته
Tunamshukuru mwenyezimungu kwa kutujaalia kuswali alfajiri ya Leo jumaapili
Na kuendelea na nyiradi zetu k**a desturi ya irshad .twawashukuru viongozi wetu kwa kutuwekea mfumo huu kwani nisalama kwetu kwa mabalaa mbalimbali zikiwemo husda n.k mungu tustiri aamiin

Hapa tunamuona mudiri wa irishaad sayyd Ahmad muhusi ibn aly Jamal llail pamoja na rais wa pili wa tz pamoja sharifu bad...
15/10/2016

Hapa tunamuona mudiri wa irishaad sayyd Ahmad muhusi ibn aly Jamal llail pamoja na rais wa pili wa tz pamoja sharifu badawy

Mudiri na wanafunzi wake wako mswaha Leo wamsherehekea mtume
12/10/2016

Mudiri na wanafunzi wake wako mswaha Leo wamsherehekea mtume

Address

Lushoto
255

Telephone

+255716658645

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Irshad Islamic Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share