Pst. Dickson Kyerwa. Chababara

Pst. Dickson Kyerwa. Chababara YESU MTENDA MIUJIZA YUKO HAPA LEO na majibu ya matatizo yako.

una changamoto ya kukosa mtoto, magonjwa sugu, kulogwa na wachawi, hapa ndipo mahali sahihi njoo uombewe tatizo lako YESU anaweza yote.

Sasa inapatikana Youtube usiache kulike kushare na comments zenu ni za mhimu wapendwa ktk Bwana Yesu
23/07/2026

Sasa inapatikana Youtube usiache kulike kushare na comments zenu ni za mhimu wapendwa ktk Bwana Yesu

Ufalme wa MUNGU ni utawala mamlaka nguvu na uwezo

23/07/2026

Ushuhuda kutoka madhabahuni Pst. Dickson Kyerwa. Chababara endelea kutufollow ili upate updates nyingi kutoka hapa kwenye chaneli Yetu lakini pia tunapatikana na karibu uendelee kututazama mpendwa wetu

15/07/2026

Ametenda Yesu kwenye ibada tumemuona wewe je!

Usiache kufuatilia na kufolliw akaunt Yetu Pst. Dickson Kyerwa. Chababara YouTube channel

Kutoka madhabahuni on YouTube
14/07/2026

Kutoka madhabahuni on YouTube

14/07/2026

Watch Now on YouTube channel Pst. Dickson Kyerwa. Chababara

02/06/2026

Linda sana Moyo wako kuliko vyote ulindavyo

27/04/2026

Kila amwendeaye Mungu na Aamini kuwa yupo, watu hawa wamekuja madhabahuni kumshukuru MUNGU . haya ni madhihirisho kupitia shuhuda zao kwamba YESU KRISTO YUKO HAPA usiache kufatilia kushare na kucoment kwenye chaneli zetu.

27/04/2026

Tumerudi! tena uko tayari kufuatilia ibada na matendo makuu ya Mungu kupitia madhabahu hii? sikiliza ushuhuda huu.

21/03/2026

Siri ya Muujiza wako ni wewe kuja kwenye madhabahu hii, Sikiliza mama akitoa ushuhuda wa matendo makuu, usiache kulike na kufollow chanel yetu pendwa, pia toa maoni ikiwa umeuskiliza ushuhuda huu.

Address

Kyerwa
Kyerwa

Telephone

+255785349118

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pst. Dickson Kyerwa. Chababara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share