Eagt Majoka

Eagt Majoka EAGT MAJOKA, tunawakaribisha katika kupata mafundisho yetu kwa njia ya Mtandao popote ulipo, pia

Tupo Dodoma tayari Kwa kuanza mkutano mkuu wa EAGT Kitaifa
20/10/2022

Tupo Dodoma tayari Kwa kuanza mkutano mkuu wa EAGT Kitaifa

Ibada ni amri kutoka kwa muumba muweza WA yote aliyekuumba mpaka ukawa,,,, njoo kwa pamoja tumuabudu , tumsifu na kumtuk...
16/01/2021

Ibada ni amri kutoka kwa muumba muweza WA yote aliyekuumba mpaka ukawa,,,, njoo kwa pamoja tumuabudu , tumsifu na kumtukuza kwa sifa zote,, nayeye atakushindia. Karibuni sana

Tunawatakia usiku mwema, tukumbuke kesho ni siku ya ibada.... Tunawakaribisha wote EAGT MAJOKA
14/01/2021

Tunawatakia usiku mwema, tukumbuke kesho ni siku ya ibada.... Tunawakaribisha wote EAGT MAJOKA

Tunapenda kuwatangazia Ndugu jamaa na Marafiki wote kuwa, sasa Rasmi tutakuwa tukirusha mafundisho na mahubiri yetu kupi...
10/01/2021

Tunapenda kuwatangazia Ndugu jamaa na Marafiki wote kuwa, sasa Rasmi tutakuwa tukirusha mafundisho na mahubiri yetu kupitia mtandao wa youtube. Unachotakiwa kufanya ni kusubscribe kwenye channel yetu youtube pia like page hii ili kujua pindi mafundisho yanaporushwa.
"KWA MUNGU KUNA AMANI"
YouTube

https://youtube.com/channel/UCEL1av9YXccutD9gcjrbNFQ

Address

Popote Ulipo Na Simu Yako Tunakufikia
Kyela

Telephone

+255734909372

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eagt Majoka posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share