New Hope Ministry For All Nations

New Hope Ministry For All Nations Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from New Hope Ministry For All Nations, Religious organisation, KATAVI, Kiwalani.

Naitwa Mch MALERA, Napatikana Mkoa wa katavi ,ni muhubiri ,mwalimu wa neno la Mungu na muombaji
Kwa huduma ya maombi
Nambari za simu vodacom (+255) 753135005 Halotel (+255) 627733705

25/05/2026
03/05/2026

Na ishala hizi zitaambatana na wale wamuaminio

13/04/2026

YESU!AWE TAA YA MAISHA YAKO MWEZI HUU!!
NA KIONGOZI WA MAISHA YAKO
K**A UNAMUPENDA YESU SEMA AMINA

Imekuwa siku ya baraka kubwaa kwetu!!Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?
13/04/2026

Imekuwa siku ya baraka kubwaa kwetu!!
Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu?

22/11/2025

Utasibika katika haki utakuwa mabali na kuone,
Na ukawe mbali na kuonewa kwa jina la Yesu

24/06/2025

Mungu awajalie kumujua yeye na nguvu zake

Shalom wana tunawapenda sana wana familia ya,New Hope Ministry For All National
17/06/2025

Shalom wana tunawapenda sana wana familia ya,New Hope Ministry For All National

Mwenye haki wangu ni jasili k**a simba rafiki yangu mzuri jitaidi kumupendeza Bwana Yesu maishani mwako wala hatakuacha ...
27/05/2025

Mwenye haki wangu ni jasili k**a simba
rafiki yangu mzuri jitaidi kumupendeza Bwana Yesu maishani mwako wala hatakuacha uaibike uwe na siku njema!
by pastor Malera katavi Tanzania
0753135005

Watu wa,Shalom shalom!! Nawasalimu kwa jina la Yesu aliye hai.Niwailike kujiunga na group la kufundishana neno la Mungu ...
12/02/2025

Watu wa,Shalom shalom!! Nawasalimu kwa jina la Yesu aliye hai.
Niwailike kujiunga na group la kufundishana neno la Mungu na kuombeana kwa wale tuloitwa kwa ajili ya kazi ya Mungu na kupenda kujifunza neno la Mungu weka namba hapo kwenye comment nitakuunga na group la maombi

01/01/2025

NAWATAKIA MWAKA MPYA WENYE MAFANIKIO MAKUBWA NA USHINDI MKUU UKAWE MWAKA WA
YUBILEE KWENU

Address

KATAVI
Kiwalani

Telephone

+255753135005

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New Hope Ministry For All Nations posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to New Hope Ministry For All Nations:

Share