Ev.Grayson Mbega

Ev.Grayson Mbega Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ev.Grayson Mbega, Evangelical church, P. o. Box 320, Kilosa.

Feeling better in the bless of God, when we praise him.
06/07/2024

Feeling better in the bless of God, when we praise him.

Imani thabiti UMEBEBA hatima ya maisha Yako ya kiroho!
08/06/2024

Imani thabiti UMEBEBA hatima ya maisha Yako ya kiroho!

08/06/2024

Katka mkesha wa kumshukuru MUNGU usiku wa Jana!!

07/06/2024

NAFASI YA MUNGU KATIKA KUGEUZA HUZUNI YAKO KUWA FURAHA.

HUZUNI ni Hali ya mtu kuondokewa na Furaha ya moyo wake.

mf mtu akifiwa na ndugu yake,au kutokewa au kutokipata alichokikusudia moyo hukosa amani na aweza jumuishwa k**a ana MSIBA MZITO MOYONI.

Sarah,Hana,Ibrahim,na wengne walipocheleweshewa miujiza Yao walijikuta wakiumia kana kwamba Wana MSIBA mzito.watu wengi wameshindwa kujizuia hasa pale wanapokutana na vipindi hivi vigumu.Aliye na HUZUNI hawezi hata kuomba na matokeo yake Huwa ananung'unika tu badala yakuomba wakati Fulani anajiona yeye ansonelewa na MUNGU.

LEO TUFAFANUE KIDOGO LUKA 7:11.....Tunamuona mwanamke mjane aliyfiwa na mwanawe wa pekee katka mji mdogo uitwao Naini,Yesu aliposikia watu wakilia na zaidi alipomwona mjane akiomboleza biblia inatuambia YESU ALIMUHURUMIA NA KUMWAMBIA USILIE.

.......Baadae aliwasimamisha waliokuwa wanaenda kumzika kijana na akamfufua kweli akawa hai Tena. HUZUNI inatesa na haizuiliki ila YESU alipomwambia mjane USILIE alibeba Imani akamsikiliza YESU akakomesha kilio chake.
..una misiba mingapi?njaa,shida,ndoa,umasikini,madeni unaowadai hawakulipi,unadaiwa..

Leo anakuambia BWANA kuwa USILIE.

NI KWA JINSI GANI MUNGU HUIGEUZA HUZUNI KUWA FURAHA.

Bwana huleta matokeo katika dakika ya mwisho pale mtu anapofikia ukomo wa akili zake.mwanamke alifika mwisho wa akili zake ila dakika za mwisho MUNGU akaleta historia mpya kwake.

🔥ukuu wa MUNGU hujidhihirisha pale pasipostahili lengo kuwadhirishia watu kuwa MUNGU yupo nawe,kwani wale waliokuwa msibani walipata KUMWAMINI MUNGU kupitia ule miujiza.

🔥ukiwa katika kusudi la MUNGU atakuhurumia na kukujibu hata kabla hujamwita.kwani huangalia unyenyekevu wako katka kumtafuta yeye.

KUMBUKA:
Athali ya kuishi bila Furaha au amani MOYONI mwako matokeo yake huja katka mwili wako presha,msongo wa mawazo na kunyong'onyea Kwa mwili.
NIKUTIE MOYO KUWA NI YESU PEKEYAKE NDIYO MFALME WA AMANI MKARIBISHE YEYE NA KUMWAMINI AKUGEUZIE HUZUNI YAKO KUWA FURAHA.
mwanamke mjane wa Nai ni,mjane wa serepta,Matha na nduguye Razalo,Abraham,Sarah n.k
Hao walimsikiliza MUNGU nae akawabadilisha kutoka kwenye HUZUNI na kuwa katka FURAHA.
mwisho kabisa naomba ushiriki nami maombi haya: BWANA YESU NINAKUSHUKURU KWA WEMA NA UZIMA WAKO NDANI YANGU NA HUYU MTUMISHI ALIECHUKUA MUDA NA KUSOMA WALAKA HUU,NENDA KAMTIE NGUVU NA KUMSHINDIA KATIKA YALE ANAYOPITIA NA KUMFANYA AKOSE AMANI MOYONI MWAKE,WEWE NI MFALME WA AMANI NENDA KALETE AMANI MOYONI MWAKE,IBILISI ASITAWALE TENA MOYONI MWAKE ILA WEWE PEKEYAKO TAWALA BWANA.KATIKA JINA LA KRISTO YESU AAAAAMEN!!!

🖐️Barikiwa na BWANA🖐️
0684626031.

Address

P. O. Box 320
Kilosa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ev.Grayson Mbega posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share