22/09/2025
Amen Mwalimu wangu Abwene Mwasongwe...
MKATE WA LEO.
Ukitaka kujua Umeanza kuwa mtu mwema ni pale utakapoanza kuvumilia kusikiliza watu na maneno usiyoyapenda kutoka kwao. Mtu mwovu hapendi kusikiliza watu na maneno asiyoyapenda.