truthbearershedaru

truthbearershedaru unapo sikiliza na kutazama jumbe mbalimbali Toka truth bearers choir Tz utapata faraja na tumaini,

Happy new year.2026The Truth Bearers Choir Tz 🔥 Tunawatakia heri ya mwakampya 2026.Tunaomba Mungu atupatie uwezo wa kumt...
31/12/2025

Happy new year.2026

The Truth Bearers Choir Tz 🔥
Tunawatakia heri ya mwakampya 2026.
Tunaomba Mungu atupatie uwezo wa kumtumikia yeye na kutumika katika shamba lake.

Tunawashukuru wote munao tusapoti kwa Kila jambo Mungu awabariki sana.
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

The Truth Bearers Choir Tz Wakiwa katika eneo la Korogwe Tanga wakitoa huduma katika Sabato ya wageni.Tulibatikiwa kua h...
29/09/2025

The Truth Bearers Choir Tz

Wakiwa katika eneo la Korogwe Tanga wakitoa huduma katika Sabato ya wageni.

Tulibatikiwa kua huduma njema pamoja na kwaya ya glory Choir ya Tag.

Tulifanikiwa kufika kwa mchungaji wetu msitaafu Pr Charles Chagama.

Endelea kubarikiwa kufwatilia chaneli zetu
You tube, Instagram, Facebook na TikTok kwa jina la The Truth Bearers Choir Tz.

🌄 "NJIA SI RAHISI..."Safari ya kwenda Mbinguni si ya kifahari, si ya watu wengi, lakini ni ya walioamua kubeba Msalaba w...
20/07/2025

🌄 "NJIA SI RAHISI..."
Safari ya kwenda Mbinguni si ya kifahari, si ya watu wengi, lakini ni ya walioamua kubeba Msalaba wao kila siku na kumfuata Yesu. 💔⛰️

Katika kila maumivu, kila changamoto, na kila majaribu — kuna tumaini. Wimbo huu unakualika kufikiri, kutafakari, na kusonga mbele hata njia ikiwa ngumu. 🙏🎶

🔔 Premier Ipo Karibu!

15/04/2025
The Truth Bearers Choir Tz. Siku ya uzinduzi wa nyimbozetu Mpya.Jina LA yesu..
12/04/2025

The Truth Bearers Choir Tz.
Siku ya uzinduzi wa nyimbozetu Mpya.
Jina LA yesu..

The Truth Bearers Choir Tz.Tunapenda kukualika wewe mdau wetu, Mwimbaji mwenzetu. Katika siku yetu kubwa ya uzinduzi wa ...
18/02/2025

The Truth Bearers Choir Tz.

Tunapenda kukualika wewe mdau wetu, Mwimbaji mwenzetu. Katika siku yetu kubwa ya uzinduzi wa nyimbozetu Mpya utakao fanyika
Trh 12/4/2025
Hedaru central SDA church.
Andaa Moyo wako andaa na sadaka yako ya kusapoti kwa ya The Truth Bearers Choir Tz.
Unaweza pia kutuma mchango wako kuazia Sasa.
Wasiliana nasi kupitia
+255 626 846 977 & +255 767 007 821.
Tunakuombea amani na Baraka Tele.
Karibuni wote.

Huyu dada ni baraka kubwa kwa kwaya ya The Truth Bearers TZ. Hii ni nafasi nzuri ya kumpongeza NEEMA ABRAHAM kwa huduma ...
21/01/2025

Huyu dada ni baraka kubwa kwa kwaya ya The Truth Bearers TZ. Hii ni nafasi nzuri ya kumpongeza NEEMA ABRAHAM kwa huduma yake ya uaminifu na moyo wa kujituma katika kuimba sauti ya kwanza. Katika siku hii maalum ya kuzaliwa kwake, tunamtakia maisha yenye baraka, afya njema, na upendo wa Mungu uendelee kujaa moyoni mwake.

"Asante kwa huduma yako ya uaminifu na kujituma katika kwaya yetu. Mungu akubariki zaidi kwa vipawa vyako na akuongezee nguvu ili kuendelea kumsifu na kumtumikia kwa moyo mkunjufu. Siku yako ya kuzaliwa iwe ya furaha, baraka, na amani tele!"

Zaburi 37:4
"Jifurahishe kwa Bwana, naye atakupa haja za moyo wako."

Hongera sana kwa siku ya kuzaliwa!

The Truth Bearers Choir Tz
07/10/2024

The Truth Bearers Choir Tz

Happy Sabbath day From The Truth Bearers Choir Tz..
03/08/2024

Happy Sabbath day From The Truth Bearers Choir Tz..

✨ TUJI NYENYEKEZE - WIMBO MPYA UNAKUJA! ✨Ni siku 9 tu zimebaki! Jiandae kwa uzinduzi wa wimbo wetu mpya kutoka kwa The T...
25/07/2024

✨ TUJI NYENYEKEZE - WIMBO MPYA UNAKUJA! ✨
Ni siku 9 tu zimebaki! Jiandae kwa uzinduzi wa wimbo wetu mpya kutoka kwa The Truth Bearers Choir Tanzania.

"Tuji Nyenyekeze" ni wimbo utakaochochea moyo wako na kuleta upya wa kiroho.Huu sio wimbo tu, ni mwaliko wa kuinua mioyo yetu kwa unyenyekevu mbele ya Mungu.
Tunakaribia kushuhudia kazi ya ajabu kupitia sauti na nyimbo hizi.

Tarehe: 2 Agosti 2024Usikose!

Endelea kutuunga mkono kwenye YouTube, Apple Music, Amazon Music, Deezer, Spotify, Boomplay, na mitandao yetu ya kijamii.Kwa pamoja tuwe sehemu ya baraka hii!

Address

Hedaru
Kilimanjaro
00000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when truthbearershedaru posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to truthbearershedaru:

Share