ECG Church Mirerani Branch

ECG Church Mirerani Branch Official page for Enlightened Christian Gathering (ECG) Church Mirerani Branch

Karibu katika mfungo huu wa Pastors wa kanisa le Ecg Tanzania 🇹🇿 tuna wakaribisha katika mfungo wa masaa 12 Jumatano hii...
25/05/2026

Karibu katika mfungo huu wa Pastors wa kanisa le Ecg Tanzania 🇹🇿 tuna wakaribisha katika mfungo wa masaa 12 Jumatano hii.

Link utapewa kwa wale wote watakaojiunga.

Karibu karibu .

Kumbukumbu la Torati 11:24[24]Kila mahali mtakapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu patakuwa penu; tokea hilo jangwa, na Le...
25/05/2026

Kumbukumbu la Torati 11:24
[24]Kila mahali mtakapokanyaga kwa nyayo za miguu yenu patakuwa penu; tokea hilo jangwa, na Lebanoni, na tokea mto wa Frati, mpaka bahari ya magharibi, itakuwa ndiyo mipaka yenu.

Umebarikiwa Kwa Kuabudu Nasi, Karibu Tena Uungane Pamoja Nasi Alhamisi Hii Pamoja Na Jumapili Hii Mungu Wa Major 1 Akubariki Sana.

In the MIGHTY name of JESUS!!!
19/05/2026

In the MIGHTY name of JESUS!!!

Hagai 2:9[9]Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema BWANA wa majeshi; na katik...
17/05/2026

Hagai 2:9
[9]Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza, asema BWANA wa majeshi; na katika mahali hapa nitawapa amani, asema BWANA wa majeshi.

The glory of this latter house shall be greater than of the former, saith the LORD of hosts: and in this place will I give peace, saith the LORD of hosts.

Mungu Akubariki Sana Karibu Tena Kwenye Ibada Zetu Hapa TAIFA LA YESU ECG Church Mirerani Branch Alhamisi Saa 10 Jioni Na Jumapili Saa 2 Asubuhi

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
Mtalemwa Dionis Rweyemamu
Apostle Boneka Bushiri

1 Samweli 4:22Naam, akasema, Huo utukufu umeondoka katika Israeli; maana sanduku la Mungu limetwaliwa. Karibu Kwenye Iba...
15/05/2026

1 Samweli 4:22
Naam, akasema, Huo utukufu umeondoka katika Israeli; maana sanduku la Mungu limetwaliwa.

Karibu Kwenye Ibada Ya Jumapili Huo Hapa ECG MIRERANI Kuanzia Saa 2 Asubuhi

Shepherd Bushiri
Mary Bushiri
Gift Allen

11/05/2026

May the God of Major1 answer all your prayers!

Waoooh Mungu Akubariki Sana Tumefurahi, Tumebarikiwa, Tumeinuliwa, Hakika Tumeona Mkono Wa Mungu Wa Major 1.Karibu Tena ...
10/05/2026

Waoooh Mungu Akubariki Sana Tumefurahi, Tumebarikiwa, Tumeinuliwa, Hakika Tumeona Mkono Wa Mungu Wa Major 1.

Karibu Tena Uabudu Pamoja Nasi Siku Ya Jumapili Kwenye Ibada Ya Kukanyaga Mafuta

shepherd Bushiri
Mary BUSHIRI
Gift Allen

05/05/2026

I prophesy GOODNEWS to you!

04/05/2026

Within 14 days, may you testify in Jesus’ mighty name!

Asante Sana Katibu, Pastor Mwl Eliya Tungaraza - Favor, ECG Church Mirerani Branch Tumebarikiwa Sana Sana, Karibu Tena N...
03/05/2026

Asante Sana Katibu, Pastor Mwl Eliya Tungaraza - Favor, ECG Church Mirerani Branch Tumebarikiwa Sana Sana, Karibu Tena Na Tena

Hakika Mirerani Haitabaki K**a Ilivyo Tumemuona Mungu akitenda Kazi Juu Yako. Malango Sasa Yamefunguliwa Jiandae Kuingia Kanani Yako.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
Mtalemwa Dionis Rweyemamu
Boneka Adolph Boneka
ECG The Jesus Nation Church Tanzania

SIKU 3 ZA KUYAKAMATA MALANGO HAPA ECG TAIFA LA YESU MIRERANI Ibada Hii Itaongozwa Na Mtoto Wa Major 1 Pastor Elia Tungar...
29/04/2026

SIKU 3 ZA KUYAKAMATA MALANGO HAPA ECG TAIFA LA YESU MIRERANI

Ibada Hii Itaongozwa Na Mtoto Wa Major 1 Pastor Elia Tungaraza

Je? Ni Malango Gani Yamekatwa Na adui kwenye Maisha Yako?

Isaya 60:11
Malango yako nayo yatakuwa wazi daima;
Hayatafungwa mchana wala usiku;
Ili watu wapate kukuletea utajiri wa mataifa,
Na wafalme wao wakiongozwa pamoja nao.

Prophet Shepherd Bushiri
Prophetess Mary Bushiri
ECG The Jesus Nation Church Tanzania
Eliya Tungaraza
Pst Gift Allen

Address

Kilimanjaro
Kilimanjaro
00255

Telephone

+255769111130

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ECG Church Mirerani Branch posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share