31/01/2025
[ ] Hongera sana mwana familia, kwa kufika mwisho wa January, Mungu amekuwa mwema sana Katika siku zote 31.
[ ] Leo ni siku ya kuitathimini January, na kuangalia namna ulivyofanya matumizi ya muda, fedha na nguvu zako.
[ ] Mpaka sasa, huu mwaka umeuona je! ni mwaka mpya au hauna tofauti na mwaka jana? k**a hauna tofauti na mwaka jana "UNA HITAJI KUFANYA MABADILIKO KWENYE AKILI YAKO HARAKA SANA.
[ ] Kwa sababu mtu ni matokeo ya vile anavyofikiri, ili kuwa na mwaka tofauti na wa jana unahitaji MABORESHO NA MATENGENEZO kwenye eneo la FIKRA ZAKO.(akili yako)
Ufilc
Mwl Nyalile