12/07/2025
Vijana wameaswa kutokujihusisha na matendo maovu.
Vijana tumrudie Mungu wetu kwani kuishi ndani ya kristo ndio habali ya mjini.
Mungu ni pendo na anatupenda.
Mwinjilisti ameyaeleza hayo alipokutana na vijana katika maeneo tofauti tofauti katika mji wa kigoma.
la Pefa Kazegunga