Grace Fellowship Church Kigoma

Grace Fellowship Church Kigoma Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Grace Fellowship Church Kigoma, Religious organisation, uwanja wa ndege, Kigoma.

24/04/2023

Karibu katika   ambapo tutakuwa na wakati wa makabila katika tamaduni zao, mitindo ya mavazi, falsafa zao, vyakula, nyim...
10/04/2023

Karibu katika ambapo tutakuwa na wakati wa makabila katika tamaduni zao, mitindo ya mavazi, falsafa zao, vyakula, nyimbo na mengine mengi lakini zaidi UTAMADUNI WA MBINGU JUU YA TAMADUNI ZETU NI MUHIMU ZAIDI.

MWAMBIE RAFIKI AMWAMBIE RAFIKI. Tukutane pale Grace Fellowship Church Kigoma .

03/04/2023

Shalom, shalom,tuna waalika watu wote wa makabila mbali mbali mnaoishi mkoani kigoma,

Tarehe 21april,tumeandaa event ya USIKU WA TAMADUNI,
Siku hiyo kila kabila litafanya onyesho lao kitamaduni yao kwa njia ya nyimbo za kikabila yao (kilugha),mitindo kitamaduni,igizo na chakula cha asili ya kabila lao,

Usipange kukosa mtu wa Mungu, karibu tumfurahie Bwana Yesu kwa kazi ya msalaba ilivyo leta mlipuko mkubwa duniani

Mungu anautamani uhusiano na wewe, Je utajipa nafasi ya kumsikia week hii?
27/03/2023

Mungu anautamani uhusiano na wewe, Je utajipa nafasi ya kumsikia week hii?

05/03/2023
Matthew 13 It’s all about being fruitful, being at the church and receiving the Word of GOD with a type of heart that ke...
05/03/2023

Matthew 13
It’s all about being fruitful, being at the church and receiving the Word of GOD with a type of heart that keeps the word no matter what the challenges. We want to be fruitful so we love the Word of GOD.



Address

Uwanja Wa Ndege
Kigoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Grace Fellowship Church Kigoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Grace Fellowship Church Kigoma:

Share