30/08/2026
Ni mkutano mkubwa wa injili utakaofanyika katika uwanja wa KAWAWA - UJIJI - , kuanzia tarehe 02 mpaka tarehe 06 Septemba, 2026,
Ni kila siku saa 10:00 - 12:30 Jioni, walete wagonjwa na wenye shida mbalimbali, Yesu mtenda miujiza atawafungua na kuwaweka huru.
Tutakuwa na mtumishi wa Mungu Mchungaji Steven Msongole (kutoka Njombe).
Tupigie kwa simu namba: 0658521470 / 0763915720
Mungu akubariki.