St.michael 'S Church Mwanga Parish

St.michael 'S Church Mwanga Parish Religious isues

Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na tabasamu  miaka K**a yote 100000000000000 happy birthday
28/08/2024

Mungu akupe maisha marefu yenye furaha na tabasamu miaka K**a yote 100000000000000 happy birthday

JASTIN YOUNGEST FASHION. karibu Sana nipo mkoa wa kigoma Tanzania
18/08/2024

JASTIN YOUNGEST FASHION. karibu Sana nipo mkoa wa kigoma Tanzania

Leo tarehe 7/7/2024  askofu ametamka jina jipya   Kanda ya manisipaa ya kigoma ujiji
07/07/2024

Leo tarehe 7/7/2024 askofu ametamka jina jipya Kanda ya manisipaa ya kigoma ujiji

MAMA NAKUPENDA SANA KWA KUNIWEKEA MKONO WA BARAKA  SIKU YA LEO 1/7/ 2024 NAKUPENDA SANA MAMA
02/07/2024

MAMA NAKUPENDA SANA KWA KUNIWEKEA MKONO WA BARAKA SIKU YA LEO 1/7/ 2024 NAKUPENDA SANA MAMA

Jastin youngest fashion kalibun sana
17/06/2024

Jastin youngest fashion kalibun sana

JUMAPILI YA MITENDE Jumapili ya Mitende ni sikukuu ya Kikristo  ambayo huangukia Jumapili kabla ya Pasaka. Sikukuu hiyo ...
24/03/2024

JUMAPILI YA MITENDE

Jumapili ya Mitende ni sikukuu ya Kikristo ambayo huangukia Jumapili kabla ya Pasaka. Sikukuu hiyo ni ukumbusho wa kuingia kwa ushindi kwa Kristo jijini Yerusalemu, tukio lililotajwa katika kila moja ya Injili nne za Kikanuni (Mathayo, Luka, Marko na Yohana).

Jina lake linatokana na matawi ya mitende yaliyoinuliwa na umati wa watu ili kumsalimia na kumheshimu Yesu Kristo alipoingia mjini. Jumapili ya Mitende inaashiria siku ya kwanza ya Juma Takatifu; katika Kanisa Anglikana Duniani, huu ni mwanzo wa juma la mwisho la msimu wa sherehe wa Kwaresima, uliotangulia Pasaka.

Hakika Mungu tunayemuomba anajibu kwa wakati  leo waumin  wa St.michael 'S Church Mwanga Parish kigoma wamejitokeza kwa ...
14/02/2024

Hakika Mungu tunayemuomba anajibu kwa wakati leo waumin wa St.michael 'S Church Mwanga Parish kigoma wamejitokeza kwa wingi. Uwe na kwaresma njema kutubu na kumrudia bwana. Jumatano ya 14/2/2024

Leo jumatano  14/2/2024
14/02/2024

Leo jumatano 14/2/2024

MISA YA MAZISHI YA MWIMBAJI WA KWAYA YA UPENDO ANGLIKANA  RAHEL ELISHA TAREHE 4/4/2023β€œTupo hapa kumsindikiza mama rahel...
05/06/2023

MISA YA MAZISHI YA MWIMBAJI WA KWAYA YA UPENDO ANGLIKANA RAHEL ELISHA
TAREHE 4/4/2023

β€œTupo hapa kumsindikiza mama rahel elisha aliyefariki dunia tutumie nafasi hii kutoa pole kwa familia Mme na Watoto wa marehem

Akitoa hotuba ya faraja kwa wafiwa na waombolezaji wa msiba huo mkurungezj Kanisa Anglikana kigomaTanzania amewataka kuwa na uvumilivu kufuatia kifo cha mama Kwangu huku akitoa wito kwa jamii kuishi maisha ya hofu na kumpendeza Mungu kwakuwa kila Mwanadamu ataonja mauti.

"Tunaishi katika Dunia ambayo kimwili kila mtu anasema anampenda Yesu lakini aliyobeba moyoni anakijua mwenyewe Mungu aliyekupa uhai ipo siku atauchukua, Tuishi kwa hofu na kumtegemea yeye Tumpende kweli sio kinafiki na kuacha matendo mabaya" alieleza mkurungez
Najua MAMA umekufa na kristo tutaonana ile siku ya pambazuko la wateule parapanda itakapolia pumzika kwa amani ya Bwana..

𝑲𝑨𝑹𝑰𝑩𝑼𝑡  𝑰𝑩𝑨𝑫𝑨 𝒀𝑨 𝑷𝑬𝑡𝑻𝑬𝑲𝑢𝑺𝑻𝑬 St.michael 'S Church Mwanga Parish
28/05/2023

𝑲𝑨𝑹𝑰𝑩𝑼𝑡 𝑰𝑩𝑨𝑫𝑨 𝒀𝑨 𝑷𝑬𝑡𝑻𝑬𝑲𝑢𝑺𝑻𝑬 St.michael 'S Church Mwanga Parish

Makambi ya umaki  wamama  kanda ya ziwa yanaendelea  viwanja kanisa anglikani St.michael 'S Church Mwanga Parish
27/05/2023

Makambi ya umaki wamama kanda ya ziwa yanaendelea viwanja kanisa anglikani St.michael 'S Church Mwanga Parish

IBADA YA KUWEKWA WAKFU  ASKOFU WA DAYOSISI, KANISA ANGLIKANA TANZANIA UTANGULIZIPia, punde tu baada ya uteuzi wa Askofu ...
27/05/2023

IBADA YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU WA DAYOSISI, KANISA ANGLIKANA TANZANIA

UTANGULIZI

Pia, punde tu baada ya uteuzi wa Askofu Msaidizi wa Dayosisi, hatua za kumweka wakfu zitafuata.Kila Askofu Msaidizi wa Dayosisi, kabla ya kushika wadhifa wake atakula kiapo cha utii kwa Askofu Mkuu, Katiba hii, Askofu wa Dayosisi na Katiba ya Dayosisi k**a vilivyoainishwa katika Katiba.

SALA

Askofu wa Kianglikana anapowekwa Wakfu, utaratibu unaofuatwa umeelezwa vyema kwenye ukurasa wa 193-202 katika Kitabu Cha Sala kwa Watu wote (Book of Common Prayers) Kanisa Anglikana Toleo la 1995.

Sala inayotangulia hutolewana Askofu Mkuu akisema:

β€œMwenyezi Mungu ambaye kwa Mwana wako Yesu Kristo uliwapa Mitume wako Watakatifu karama nyingi zilizo bora, ukawaamuru walilishe kundi lako: uwape neema twakusihi, Maaskofu wote, Wachungaji wa Kanisa lako, walihubiri Neno lako kwa juhudi na kuhudumia maadili yake Matakatifu, uwajalie watu wako wayatii na kuyafuata, ili wote wapokee taji ya Utukufu wa milele. Kwa Yesu Kristo Bwana wetu. Amin

Address

Kigoma

Telephone

+255659804502

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when St.michael 'S Church Mwanga Parish posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to St.michael 'S Church Mwanga Parish:

Share