USCF Kigoma

USCF Kigoma Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from USCF Kigoma, Anglican Church, Kigoma town, Kigoma.

07/05/2023
07/05/2023

Wale wanaomwamini MUNGU kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yao wata LIKE post hii

Na kusema Amen
ikiwa ni ishara ya kumuamini MUNGU

TABIA YAKO JINSI INAVYOFANYIKA BARAKA  yako nzuriii mbele za Mungu hufanyika barakakwenye maisha yako the way una behave...
07/05/2023

TABIA YAKO JINSI INAVYOFANYIKA BARAKA

yako nzuriii mbele za Mungu hufanyika barakakwenye maisha yako the way una behave chini ya mkono wa ndivyo unavyobarikiwa

Sometimes unashindwa barikiwa na Mungu kwasababu ya Yale unayoyafanya yasiyo mpendeza Mungu so keep behaving well infront of Jesus Christ you will be blessed and uplifted up.

07/05/2023

M/kiti wa USCF akielezea jinsi ibada itakavyokuwa siku ya jointmass pale TIA campus ya Kigoma mjini

Ibada itakuwa ya upako Sana ,Mungu ataonekana, atahudumia watu wake siku hio hivo basi mnakaribishwa nyote

Wana USCF na associate wote karibu sana

Hayo ndiyo aliyoyaongea mwenyekiti wa USCF Rojas Wilson

Subscribe to our YouTube channel USCF KIGOMA
06/05/2023

Subscribe to our YouTube channel

USCF KIGOMA

CCT USCF KIGOMA imeanzishwa mwaka 2022Mwezi wa Saba,kabla hata ya kutimiza mwaka mmoja imefanikiwa kushiriki national co...
04/05/2023

CCT USCF KIGOMA imeanzishwa mwaka 2022
Mwezi wa Saba,kabla hata ya kutimiza mwaka mmoja imefanikiwa kushiriki national conference iliyofanyika Lutheran junior seminary katika mkoa wa Morogoro kwa kupeleka Wana USCF 18

Na piah USCF KIGOMA ilifanikiwa kushiriki zoezi la ushindani la uimbaji wa nyimbo, zilizokatika mfumo wa noteni na kushika nafasi ya 4 japo kwa mwanzo wake na Mara ya kwanza yake, kushiriki national conference za CCT USCF katika nchi ya TANZANIA, Mkoani MOROGORO,

Zifuatazo Ni baadhi ya picha za wana USCF kutoka Kigoma wakiwa kwenye CONFERENCE

BWANA YESU APEWE SIFA KATIKA HILI SEMA AMEN ...................

Wakati huo vijana wa USCF kutokea Kigoma wakiwa kwenye maandalizi ya kwenda morogoro kwenye national conferenceHapa Ni b...
04/05/2023

Wakati huo vijana wa USCF kutokea Kigoma wakiwa kwenye maandalizi ya kwenda morogoro kwenye national conference

Hapa Ni before Safari yao haijaanza......

Address

Kigoma Town
Kigoma

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255620828782

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when USCF Kigoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to USCF Kigoma:

Share