19/03/2025
Bwana Yesu apewe sifa!
Sisi ni Ebenezer Choir- EAGT Naioth, ni wana kwaya wa nyimbo za injili, tunaitangaza habari njema ya wokovu kwa watu wote kupitia uimbaji.
Karibu sana utufuatilie kwenye kurasa zetu mbalimbali kwa jina letu hilo, ili upate kusikiliza nyimbo nzuri zenye kumtukuza na kumwinua Mungu...na Mungu akubariki.