EAGT Kidenge JCC

EAGT  Kidenge  JCC Glory be to God of almight. Keep visiting here there many Godly material to Come. I will be sharing with you biblical message photos and other Godly issue

29/10/2021

KILA MWENYE MAONO HAVUNJWI MOYO NA MWANZO.. Kwa kuwa imani ni hakika ya mambo ya tarajiwayo.. Giza la leo haliwezi kuwa la kudumu.. Asubhi na mchana huja kwa ushindi mkubwa..

15/07/2021

Kila mabadiliko yanayohusiana na kupanda kwa gharama huwa si mepesi kuyapokea.. Mungu atupiganie... tuvuke

31/03/2021

Ahmidiwe MUNGU AMBAYE AMEWEKA WALINZI KATKA NCHI YETU K**A NENO LAKE LINAVYOSEMA
Isaya 62:6
[6]Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, Ee Yerusalemu; hawatanyamaza mchana wala usiku; ninyi wenye kumkumbusha BWANA, msiwe na kimya;

Wote mnakaribishwa tumwabudu BWANA PAMOJA KATIKA ROHO NA KWELI
30/06/2019

Wote mnakaribishwa tumwabudu BWANA PAMOJA KATIKA ROHO NA KWELI

09/11/2018

Zaburi 27:1
[1]BWANA ni nuru yangu na wokovu wangu,
Nimwogope nani?
BWANA ni ngome ya uzima wangu,
Nimhofu nani?

10/05/2018

K**a si Mungu nani na aseme...? Libarikiwe Jina lake siku hii ya LEO

08/05/2018

Wafilipi 4:13 Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu

21/02/2018

Neema ya Mungu inatuita pamoja

Address

KIBAHA
Kibaha

Telephone

+255766642225

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when EAGT Kidenge JCC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to EAGT Kidenge JCC:

Share