Daarul Arqam Learning Centre

Daarul Arqam Learning Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Daarul Arqam Learning Centre, Religious organisation, Nyuki Street, Kibaha.

UKURASA HUU NI MAKHUSUSI KWA AJILI YA TAASISI YA KIDINI YA DAARUL ARQAM LEARNING CENTRE YENYE MAKAO YAME MAKUU KIBAHA MAIL MOJA PWANI.Lengo la kuanzishwa taasisi hii ni kuweza kuhudumia jamii .

Daarul Arqam Learning Centre Kibaha
05/06/2025

Daarul Arqam Learning Centre Kibaha

Masjid Sunnah Kibaha Mail Moja.Daarul Arqam Learning Centre
29/05/2025

Masjid Sunnah Kibaha Mail Moja.

Daarul Arqam Learning Centre

Masjid Al Huda.Kibaha Maduka matatu.Kwa maelekezo zaidi Sm 0715760435Imam Masjid Shekh Muhsini.
26/05/2025

Masjid Al Huda.
Kibaha Maduka matatu.

Kwa maelekezo zaidi Sm 0715760435
Imam Masjid Shekh Muhsini.

Masjid Sunnah Kibaha Mail Moja
22/05/2025

Masjid Sunnah Kibaha Mail Moja

21/05/2025

Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Kamati ya kuhuisha na kuendeleza uislamu Kibaha inawatangazia waumini na waislam wote wa mji wa kibaha na viunga vyake kuwa kutakuwa na shughuli na tukio la maonesho ya kihifadhi Quran tuliyo yaandaa Masjid Aisha bint Abibakar mtaa wa Mpiji Muheza kata ya Mailimoja, maonyesho haya yamepangwa kufanyika tarehe 01/06/2025 siku ya jumapili kuanzia saa 1:00 asubuhi katika viwanja vya shule ya Romivan English Medium iliyopo Mpiji,

Wabillahi Tawfyq

Limetolewa na Shekh M***a Imam Masjid Aisha Mpiji kibaha.

Daarul Arqam Learning Centre.Khutba Tarehe 25/04/2025 ijumaa ya kesho insha Allaah.Masjid Sunnah Mail moja kibaja
24/04/2025

Daarul Arqam Learning Centre.

Khutba Tarehe 25/04/2025 ijumaa ya kesho insha Allaah.
Masjid Sunnah Mail moja kibaja

Fursa za kiibada.
19/04/2025

Fursa za kiibada.

Daarul Arqam Learning Centre
17/04/2025

Daarul Arqam Learning Centre

Daarul Arqam Learning Centre.Kibaha Mail Moja
12/04/2025

Daarul Arqam Learning Centre.
Kibaha Mail Moja

Daarul Arqam learning centre-Kibaha Pwani
29/03/2025

Daarul Arqam learning centre-Kibaha Pwani

29/03/2025
Eidd Mubaarak.Tangazo.*Daarul Arqam Learning Centre* inawatangazia waislam wote wa mji wa kibaha na viunga vyake kuwa sw...
29/03/2025

Eidd Mubaarak.
Tangazo.
*Daarul Arqam Learning Centre* inawatangazia waislam wote wa mji wa kibaha na viunga vyake kuwa swala ya Eidd El Fitri itaswaliwa kesho siku ya juma pili katika viwanja vya standi ya Zamani kibaha Mail moja.

Tangazo hili limetolewa na Ofisi ya Mudir kitengo cha Idara ya Habari Utafiti na Utangazaji.

*Eidd Mubaaraka*

Address

Nyuki Street
Kibaha

Telephone

+255754500258

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Daarul Arqam Learning Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share