Kiabakari Catholic Parish

Kiabakari Catholic Parish This is the official page of Kiabakari Catholic Parish in Diocese of Musoma, Tanzania, East Africa. Welcome!

Jubilei ya Miaka 30 ya Kutabarukiwa Hekalu la Huruma ya Mungu na Uzinduzi wa Parokia ya Kiabakari itaadhimishwa mwakani ...
21/01/2026

Jubilei ya Miaka 30 ya Kutabarukiwa Hekalu la Huruma ya Mungu na Uzinduzi wa Parokia ya Kiabakari itaadhimishwa mwakani trh 1/7/2027.

Tunaanza Maadhimisho kwa Mwaka wa Maandalizi ya Kiroho tarehe 4-5/7/2026.

Logo rasmi na kauli-mbiu ya Jubilei ndiyo hii. Shukrani kwa Adeodatus Kakorozya kwa kubuni logo yetu.

Karibuni Sherehe ya Huruma ya Mungu 2026!
11/01/2026

Karibuni Sherehe ya Huruma ya Mungu 2026!

01/01/2026

"Nitawaleta kwenye mlima wangu mtakatifu
na kuwapa furaha ndani ya nyumba yangu ya sala. Sadaka zao za kuteketeza na dhabihu zao
zitakubalika juu ya madhabahu yangu; kwa maana nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote.” (Isa 52:7)

Karibuni Kituo cha Kitaifa cha Hija cha Huruma ya Mungu - Kiabakari katika hija na maadhimisho ya Mwaka Mpya 2026!

31/12/2025

Address

Kiabakari Catholic Parish
Kiabakari
P.O.BOX822MUSOMA

Telephone

+255629422889

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kiabakari Catholic Parish posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Kiabakari Catholic Parish:

Share