Yesu Anarudi - Jiandae

Yesu Anarudi - Jiandae Tahadhali ya Unyakuo ( Kuwafanya watu wajiandae na ujio wa pili wa YESU)

13/11/2024

"IJULU LILAMOSE"

MBINGU INANUKIA, TAYARI KWA
WATAKATIFU

05/11/2024

GAFLA!, MWANA-KONDOO anakuwa SIMBA,
"Mwamini YESU leo na UTUBU Dhambi zako wakati bado anaitwa Mwanakondoo; kwakuwa muda wa kukaa kwenye kiti cha rehema umeisha, ATARUDI sasa akiwa ameivaa sura ya SIMBA;

Hatakuwa tena na HURUMA, UPOLE, REHEMA wala UPENDO kwa wale waliomkataa na wote waliomwamini Nusu-nusu ( Wajiitao Wakristo wakati wanakiuka maagizo yake na kuubebelea uovu)

TUBUNI TUBUNI TUBUNI NA KUMWAMINI BWANA YESU MPATE KUWA HAI MILELE
# Yohana 3:18-19

JIBU SWALI......
22/10/2024

JIBU SWALI......

KARIBU KWENYE (PAGE) UKURASA HUU, TUKUMBUSHANE MAMBO YATUPASAYO KUFANYA KATIKA WAKATI HUU AMBAO TUNANGOJEA  KURUDI KWA B...
21/10/2024

KARIBU KWENYE (PAGE) UKURASA HUU, TUKUMBUSHANE MAMBO YATUPASAYO KUFANYA KATIKA WAKATI HUU AMBAO TUNANGOJEA KURUDI KWA BWANA YESU.

Address

Manyovu/Kigoma
Kasulu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yesu Anarudi - Jiandae posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share