Prophet ISACK Ministry TZ

Prophet ISACK Ministry TZ WE MOVE IN PROPHETIC MOVEMENT

25/03/2021

PRAYER PRAYER PRAYER

Shalom everybody nina wasalimu katika jina la Yesu Kristo.

Ningependa nilutangazie mimi k**a Nabii wako leo naomba sana tuiombee nchi yetu nzuri ya TANZANIA tuiombee sana sana sana.

kwasababu ninaona katika ulimwengu wa Roho shetani anataka ajiinue kwa mara nyingine tene ivyo ningependa na nakusihi uombe kwa bidii yako na Mungu atasikia dua na maombi yako na ataiokoa na mkono wa yule adui shetani.

Kutoka 9:28
Mwombeni Bwana; kwa kuwa zimekuwa za kutosha ngurumo hizo kuu na hii mvua ya mawe; nami nitawapa ninyi ruhusa mwende zenu, msikae zaidi

tumwambie Mungu hiii hali sasa yatosha kwenye nchi yetu ili aiondoe tusikae zaidi kwenye hali hii.

AMEN AMEN AMEN BARIKIWA SANA
by. PROPHET ISACK JAPHAL

Shalom everybody leo nilitaka ujue ujue kila kitu kwenye maisha yako kuna kusudi na mpango wa Mungu. haijalishi ni hali ...
23/03/2021

Shalom everybody

leo nilitaka ujue ujue kila kitu kwenye maisha yako kuna kusudi na mpango wa Mungu. haijalishi ni hali gani ya maisha unayopitia iwe mbaya au njema kuna kusudi la Mungu ambalo lipo kwa ajili ya kutimilishwa na kitu kinachoitwa MOYO WA UVUMILIVU.

Wagalatia 5:22 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu

Nina kutamkia hii leo nikiwa ni Nabii wa Bwana majaribu,changamoto,mateso na hali yoyote mbaya unayopitia leo yasikuvunje moyo katika jina la Yesu kristo wa Nazareth.

Yoshua 1:9 Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu wako, yu pamoja nawe kila uendako.

Bwana Mungu anakuakikishia ya kuwa usiogope kwa maana yeye Mungu yupo na wewe kila mahali uendako.

Haijalishi emeendea shida mara ngapi,madei,adha,shida mateso na hali yoyote ya maisha yako ninakuhakikishia leo Mungu wa kukutoa hapo ulipo yupo pamoja nawe na anakuacha upitie ili ajitwalie utukufu kwa wewe kushinda kwa mapito yako,

Ninakusihi leo UJUE na UTAMBUE ya kwamba Mungu anakupenda sana sanaa.

Nasimama nikiwa Nabii wa Bwana ninatamka Mungu wangu Yesu Kristo akakutoe kwenye shida,adha,mikosi, na kila mpango mbaya wa ibilisi kwenye maisha yako na akakuweke kwenye burudisho kuuu. AMEN

21/03/2021

Let the Love of Jesus be upon you today in Jesus name.

Address

Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prophet ISACK Ministry TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Prophet ISACK Ministry TZ:

Share