Anglikana Karatu MJINI

Anglikana Karatu MJINI Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Anglikana Karatu MJINI, Church, P.O.BOX 1057 ARUSHA, Karatu.

01/08/2026

4 Yeye aketiye mbinguni anacheka, Bwana anawafanyia dhihaka.

5 Ndipo atakaposema nao kwa hasira yake, Na kuwafadhaisha kwa ghadhabu yake.

6 Nami nimemweka mfalme wangu Juu ya Sayuni, mlima wangu mtakatifu.

Wakristo mbalimbali wenyeji na wageni kutoka maeneo mbalimbali, ndani na nje ya dayosisi ya Mount Kilimanjaro (DMK) Wame...
14/07/2026

Wakristo mbalimbali wenyeji na wageni kutoka maeneo mbalimbali, ndani na nje ya dayosisi ya Mount Kilimanjaro (DMK) Wamejitokeza kuaga mwili wa Mch. Elisha Mbalakai aliyehudumu Parish ya Hydom, ibada iliyoongozwa na Baba Askofu Stanley Hotay, Karatu Mjini. endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.

YouTube kwa kiungo,
https://youtube.com/-h8k?si=8oFIoqo_1HWu1NLZ

14/07/2026

Mwili wa Mch. Elisha Mbalakai waagwa kwa Simanzi nzito St. Stephen Karatu na kuelekea Ayalabe kijijini nyumbani kwao kwa ajili ya mazishi. Wachungaji Wenzake wa Dayosisi ya Mount Kilimanjaro wamsindikiza kwa Heshima zote wakitangulia mbele ya Askofu Stanley Hotay (DMK)

Ibada ya Mazishi ya Kasisi wa parish ya Hydom, Rev. Elisha Mbarakai inaendelea muda huu, hapa kanisani St. Stephen Karat...
14/07/2026

Ibada ya Mazishi ya Kasisi wa parish ya Hydom, Rev. Elisha Mbarakai inaendelea muda huu, hapa kanisani St. Stephen Karatu Mjini, na Baba Askofu Dkt. Stanley Hotay wa Dayosis ya Mount Kilimanjaro.
Aidha, ibada hii imehudhuriwa na watumishi wa Mungu wengi, wakiwemo wachungaji, wainjilisti na baadhi ya viongozi wa serikali.

Mara baada ya ibada, mazishi yatafanyika kijijini Ayalabe.

11/06/2026

Tunaalikwa Waimbaji Wote jumapili ijayo 14.06.2026 katika tamasha la Uimbaji St. Paul Mang'ola. Waimbaji binafsi na kwaya zote ndani na nje ya dinari ya Karatu.
karibuni sana.

09/06/2026

Nyimbo za kumsifu Mungu pamoja na mwimbaji binafsi wa nyimbo za injili, Joshua Kahoza; katika ibada ya asubuhi.

09/06/2026

Matendo makuu ya Mungu kwa watu wake yamtukuza Mungu madhabahuni pake. Mungu hulinda na pia hutunza tena anahuisha vinyonge vikapata ushujaa.

02/06/2026

Tahadhari za kuishi katika Ulimwengu ULIOHARIBIKA! Somo zima litapatikana Kwenye akaunti yetu ya YouTube hivi karibuni!:

Somo la KUISHI katika ULIMWENGU ULIOHARIBIKA lililofundishwa mkeshani 29.05.2026 litapatikana hewani kupitia akaunti yet...
02/06/2026

Somo la KUISHI katika ULIMWENGU ULIOHARIBIKA lililofundishwa mkeshani 29.05.2026 litapatikana hewani kupitia akaunti yetu ya you tube. Usiache kutufuatitia kwa taarifa zaidi, Neno la Mungu na matangazo ya ibada mbalimbali zinazofanyika kanisani na ndani ya dinari yetu.

Address

P.O.BOX 1057 ARUSHA
Karatu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Anglikana Karatu MJINI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category