Injili NA umisheni kahama

Injili NA umisheni kahama Tumeitwa kuhubiri Injili ya Yesu Kristo na kuifikisha kwa watu wote. Hapa utapata taarifa za mikutano

Hitimisho la mkutano mkubwa wa injili wa siku 5   mkono wa bwana umehitimisha pamoja na nasi
28/07/2026

Hitimisho la mkutano mkubwa wa injili wa siku 5 mkono wa bwana umehitimisha pamoja na nasi

Mbingu zinafurahi! Mkutano wa Injili na Umisheni Kahama ( ) umehitimishwa kwa ushindi mkubwa. Watu 32 wameamua kumpokea ...
27/07/2026

Mbingu zinafurahi!
Mkutano wa Injili na Umisheni Kahama ( ) umehitimishwa kwa ushindi mkubwa. Watu 32 wameamua kumpokea Yesu Kristo na kubatizwa k**a ishara ya maisha mapya ndani ya Kristo.
Utukufu wote ni wa Bwana!
"Ndivyo kutakavyokuwa na furaha mbinguni kwa mwenye dhambi mmoja atubuye." — Luka 15:7

Ibaada ya jumapili na Hitimisho la semina ya siku5      mkono wa bwana umeendelea kuwa nasi
27/07/2026

Ibaada ya jumapili na Hitimisho la semina ya siku5 mkono wa bwana umeendelea kuwa nasi

26/07/2026

Suluhisho la maisha halipo kwa waganga, bali lipo kwa Yesu Kristo. Mkaribishe moyoni mwako, naye atabadilisha maisha yako.

26/07/2026

Siku ya 4 ya mkutano mambo ni moto tunaendelea kuuona mkono wa bwana

Siku ya 4 ya semina Fpct chambo mkono wa bwana unaendeleaje kuwa pamoja nasi
25/07/2026

Siku ya 4 ya semina Fpct chambo mkono wa bwana unaendeleaje kuwa pamoja nasi

Semina ya viongozi MISHENI YA LOWA
25/07/2026

Semina ya viongozi MISHENI YA LOWA

Siku ya 4 ya mkutano mkono bwana unaendeleaje kuwa pamoja nasii🙏🙏
25/07/2026

Siku ya 4 ya mkutano mkono bwana unaendeleaje kuwa pamoja nasii🙏🙏

Siku ya tatu ya semina mkono wa bwana unaendeleaje kuwa nasi🙏🙏
24/07/2026

Siku ya tatu ya semina mkono wa bwana unaendeleaje kuwa nasi🙏🙏

Address

Kahama
Kahama

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Injili NA umisheni kahama posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category