Tumaini Pentecostal Church - Iringa

Tumaini Pentecostal Church - Iringa John 1:1-5
hapo mwanzo kulikuwapo NENO,naye NENO alikuwa MUNGU........

18/08/2017

VERSE OF THE DAY:
Having therefore these promises, dearly beloved, let us cleanse ourselves from all filthiness of the flesh and spirit, perfecting holiness in the fear of God.
- 2 Corinthians 7:1

17/08/2017

VERSE OF THE DAY:
Are not five sparrows sold for two farthings, and not one of them is forgotten before God? But even the very hairs of your head are all numbered. Fear not therefore: ye are of more value than many sparrows.
- Luke 12:6-7

WORD OF THE DAY:
If you have not chosen the kingdom of God first, it will in the end make no difference what you have chosen instead.
- William Law

17/08/2017

Isaya 65:16 Hata itakuwa yeye atakayejibariki duniani, atajibariki kwa Mungu wa kweli; naye atakayeapa duniani, ataapa kwa Mungu wa kweli. Kwa kuwa taabu za kwanza zimesahauliwa, na kwa kuwa zimefichwa machoni pangu.

15/08/2017

Neno la usiku
Waefeso 2:8-9
Kwa maana nimeokolewa kwa Neema,kwa njia ya Imani ambayo hiyo haikutokana Na nafsi Zenu

ujenzi wa kanisa unaendelea.. Kwa wale waliotayari kuchangia tafadhali wasilisha kupitia namba zifuatazo..chochote ulich...
03/08/2017

ujenzi wa kanisa unaendelea.. Kwa wale waliotayari kuchangia tafadhali wasilisha kupitia namba zifuatazo..chochote ulichonacho,kiasi ulicho macho kitafanya jazi ya mungu iende mbali zaidi Na kuwafikia wale ambao hawajafunguliwa.. Ni wengi sana sana wanahitaji maombi ya siku hadi siku..na sisi k**a kanisa tunasali kwa ajili yenu.. Mungu awape moyo wa kujitoa ili tuweze kumtukuza kila siku kwa yale tunayotoa kwa ajili
Mawasiliano 0744000255/0718305172 pastor Paul Mtakimwa na 0764936119 mratibu Jacob K. Urio .. Karibuni kwa chochote bwana alichokujalia

03/08/2017

Yeremia 4:1 K**a ukitaka kurudi, Ee Israeli, asema Bwana, utanirudia mimi; na k**a ukitaka kuyaondoa machukizo yako, yasiwe mbele ya macho yangu, ndipo hutaondolewa;

Yeremia 4:2 nawe utaapa hivi, K**a Bwana aishivyo, katika kweli, na katika hukumu, na katika haki ndipo mataifa watajibariki katika yeye, nao watajitukuza katika yeye.

Yeremia 4:3 Maana Bwana awaambia hivi watu wa Yuda na Yerusalemu Ulimeni udongo katika konde zenu, wala msipande mbegu kati ya miiba.

Yeremia 4:4 Jitahirini kwa Bwana, mkaziondoe govi za mioyo yenu, enyi watu wa Yuda na wenyeji wa Yerusalemu; ghadhabu yangu isije ikatoka k**a moto, ikawaka hata mtu asiweze kuizima, kwa sababu ya uovu wa matendo yenu.

Yeremia 4:5 Tangazeni katika Yuda, hubirini katika Yerusalemu, na kusema, Pigeni baragumu katika nchi, pigeni kelele sana, na kusema, Jikusanyeni pamoja, tukaingie katika miji yenye boma.

Yeremia 4:6 Twekeni bendera kuelekea Sayuni; kimbieni mpate kuwa salama, msikawie; kwa maana nitaleta mabaya toka kaskazini, na maangamivu makuu.

03/08/2017

Marko 11:22 Yesu akajibu, akamwambia, Mwaminini Mungu.

02/08/2017

Zaburi 37:3 Umtumaini Bwana ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.

Zaburi 37:4 Nawe utajifurahisha kwa Bwana, Naye atakupa haja za moyo wako.

Zaburi 37:5 Umkabidhi Bwana njia yako, Pia umtumaini, naye atafanya.

Zaburi 37:6 Ataitokeza haki yako k**a nuru, Na hukumu yako k**a adhuhuri.

Zaburi 37:7 Ukae kimya mbele za Bwana, Nawe umngojee kwa saburi; Usimkasirikie yeye afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu afanyaye hila.

27/07/2017

somo la leo

Kutubu
Yoel 2:12-13

Address

Mtwivila
Iringa

Telephone

+255764936119

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumaini Pentecostal Church - Iringa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to Tumaini Pentecostal Church - Iringa:

Share