Mehetabel

Mehetabel Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mehetabel, Religious organisation, P. o. Box 22, Iringa.

31/03/2018

Mwanakondoo Yesu Kristo Ameshinda.
Tunapoadhimisha kufufuka kwake Yesu ni maombi yangu kwako pia kila kilichokufa maishani mwako k**a vile : mahusiano, Kazi, Mtaji/Biashara, Miradi, Afya nk.
Vifufuke kwa Jina la Yesu Kristo.
Pokea sawa sawa na ulivyoamini.

28/01/2018

Yesu Kristo alipojitambulisha ktk Hekalu la mahali alipozariwa kwamba Ndiye Masihi waliyekuwa wakimsubiria miaka mingi, Kuanzia Mkuu wa Hekalu mpaka washirika ktk Hekalu walitaka kumuua kwa kumtupa chini ya mlima kolongoni.
Lakini Yesu alipita katikati yao akaenda zake.
Nakuombea Mungu akutie nguvu na upite katikati ya wale wote waliojipanga kukuzuia maishani mwako, SONGA MBELE KESHO YAKO NI NJEMA.

31/12/2017

Nakuombea Baraka na Mafanikio Mwaka Ujao, Yale yaliyokusumbua Mwaka huu 2017 yanaenda kuwa Historia Mwaka 2018. Wale walioinuka kinyume nawe utawatafuta wala hutwaona kwa maana BWANA MUNGU wako anaenda kuwakatilia mbali. Receive it in Jesus Christ name.

Bila kupigana Vita huwezi kupata wala kumiliki Baraka zako za rohoni Mtu wa Mungu pokea silaha hizi(Maandiko) zikusaidie...
13/10/2017

Bila kupigana Vita huwezi kupata wala kumiliki Baraka zako za rohoni Mtu wa Mungu pokea silaha hizi(Maandiko) zikusaidie vitani.

29/08/2017

Usiogope wala usikate tamaa kwa kuwa Mtetezi wako yu hai, ile ndoto uliyoiota siku nyingi ya kuyaishi mafanikio yako ipo siku itatimia. Mungu akupiganie na azidi kukutetea.

06/06/2017

Be blessed in the name of Jesus...

Address

P. O. Box 22
Iringa
MJINI

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mehetabel posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share