The Heaven ALTAR ministry

The Heaven ALTAR ministry I'm prophet jenatho msigwa from the heaven altar ministry I'm preaching the gospel for delivarance

Damu ya yesu kristo iwafunike
24/01/2023

Damu ya yesu kristo iwafunike

Neema ya yesu izidi kwenu
24/01/2023

Neema ya yesu izidi kwenu

24/01/2023

TAMBUA MUNGU AMEKUPA NINI MAISHANI MWAKO
-vipo vitu mungu AMEKUPA au AMEWEKA MAISHANI mwako Ila umeshindwa kuvitambua Jambo linalofanya uwe K**a kipofu anayepapasapapasa asijue aendako. -(Ezra 1:2)"koresh mfalme wa uajemi asema hivi:bwana , mungu wa mbinguni amenipa falme zote za dunia,,,,,,,,,,,,,,,,ameniagiza nimjengee nyumba katika yerusalemu ulioko yuda". _kiwango Cha nguvu, Imani , mafanikio na utukufu wa mungu anachotembelea mtu anayetambua mungu amempa Nini katika maisha yake ni tofauti na kiwango Cha yule asiyetambua _koreshi alitambua nn mungu AMEWEKA ndani yake ndio Mana UHUSIANO wake na mungu ulikuwa mzuri na mafanikio yake yalitokana na yeye kujua /kutambua kuwa mungu amempa falme zote za dunia. -ukisoma(isaya 45:2-3) mungu anamwambia atampa hazina zilizopo gizani. -sikia sahau kabisaaaaa kupewa hazina zilizopo gizani K**a mpaka Sasa hujatambua nn mungu AMEKUPA au AMEWEKA katika maisha yako. (ufunuo 3:11) "naja upesi, shika Sana ulichonacho,asije mtu akaitwaa taji yako". -utawezaje kushika na kulinda kitu usichojua kipo ndani yako mungu AMEKUPA sahau kabisa aaaaaaa kufanikiwa. -wenzako wachawi,waganga na mabalozi wa kuzimu wamejua kutumia kitu mungu AMEKUPA kwa kuwa hujatambua na kila watumishi wenzako na wengi mungu amewatumia kusema na ww umewadharau Baki na ujuaji wako. (waefeso 4:7-8). ",,,,,,,,,,kila mmoja alipewa neema kwa kadri ya kipimo Cha kipawa chake katika kristo,,,,,,,,,,,,,,,,,,aliteka mateka akawapa wanadamu vipawa".

24/01/2023

TAMBUA MAMBO HAYA KATIKA MAISHA YAKO
✍️kiwango Cha neema ya mungu MAISHANI mwako kinatokana na unyenyekevu wako mbele zake. ✍️kukua kwa huduma yako kunachangiwa na mahusiano mazuri Kati yako na mwalimu wako wa huduma au baba yako wa kiroho ( ref : mahusiano ya Eli na samweli , Elisha na Elia). ✍️ mafanikio yako na ushindi katika Mambo yako kutachangiwa na sadaka na utakatifu wako. 👉sadaka walizotoa mamajusi zilifanya mungu aseme nao(mathayo 2:1-12) 👉sadaka alizotoa kornelio zilifanya mungu amkumbuke (matendo 10). ✍️mabadiliko ya maisha yako yanatokea pale unaposikiliza ushauri wa watu wako wa karibu. ✍️baraka zako zinatokana na heshma kwa wazazi na walezi wako haijalishi ni mabaya mangapi wamekufanyia Ila biblia unasema waheshimu(kutoka 20:12). ✍️ mafanikio yako yanatokana na viwango vya mafanikio vya watu wanaokuzunguka. ✍️adui yako ni yule wa nyumbani mwako( mathayo 10:5). 👉refer: waliomwuza yusuph utumwani na kina nani? ✍️jifunze kutumia pesa kwani inahiji nidhamu ✍️unapotaka kuoa/kuolewa tambua unaeenda kuishi nae anafanana na wewe ulivyo 👉usitegemee kilicho Bora K**a ww mwenywe hujawah Bora. ✍️nguvu na uwezo wa kushinda dhambi ndani yako kunatokana na uhai wa mungu ndani yako 👉ikiwa dhambi inakutesa kila siku mwombe mungu aweke uhai wake ndani yako. 🙏I am prophet jenatho msigwa from THE HEAVEN ALTAR MINISTRY. contact:0672374869)0784487907

Address

Kilolo
Iringa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Heaven ALTAR ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Place Of Worship

Send a message to The Heaven ALTAR ministry:

Share