Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania-Kkkt Usharika wa Igunga

Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania-Kkkt Usharika wa Igunga Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania-Kkkt Usharika wa Igunga, Religious organisation, Igunga, Igunga.

20/02/2022

barikiwa kwa kwa kutazama kazi hii. karibu tufanye kazi ya Audio na Video kutoka kazi katika office zetu zilizopo Igunga Tabora nyuma ya stendi ya malori. 07...

17/07/2021

Mwanaume mmoja nchini Zimbabwe aitwaye Mark Muradzira, alipanda Milimani peke yake kwa lengo la kufunga kwa siku 40 bila kula wala kunywa chochote ili maombi yake yasikike kwa Mungu ampe uwezo wa kununua gari la kifahari aina ya Lamborghini ili amzawadie Mpenzi wake kwakuwa hilo ndilo lilikuwa gari la ndoto za Mwanamke huyo (Dream Car).

Ndugu, Jamaa na Marafiki walishtuka kutomuona mtaani na kuamua kuanzisha msako ambapo walikuja kumpata siku ya 33 akiwa hoi msituni akikaribia kufariki kwa njaa na kiu wakamuwaisha Hospitali akapona 😃🤔😃 Ndoto kubwa ya Mpenzi wako ni nini? uko tayari kufunga siku ngapi? 😄

Karibu E SON RECORD TUKUFANUNYIE KAZI.
16/07/2021

Karibu E SON RECORD TUKUFANUNYIE KAZI.

Karibu utazame video ya mtumishi wa Mungu Angelina Samwel. Kuna ujumbe mkubwa wa umuhimu wa kumshukuru Mungu kwa kila jambo.

14/07/2021
12/07/2021

Hii nimeielewa

Tunakushuru Mungu kwa hafala ya siku ya vijana katika kanisa la KKKT Igunga mjini. Tukiwa na Mh mbuge wa Jimbo la Igunga...
12/07/2021

Tunakushuru Mungu kwa hafala ya siku ya vijana katika kanisa la KKKT Igunga mjini. Tukiwa na Mh mbuge wa Jimbo la Igunga mjini, Diwani wa kata ya Igunga na madiwani wa viti maalumu. Hakika ilikuwa ni shangwe na furaha katika Kristo Yesu. Asante kwa Harambe ya ujenzi wa ukuta wa kanisa. Mungu azidi kuwainuwa zaidi.

11/07/2021

Mimi si wa kawaida

Usikose
09/07/2021

Usikose

Address

Igunga
Igunga
115

Telephone

+255624671261

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa La Kiinjili La Kilutheri Tanzania-Kkkt Usharika wa Igunga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share