Tucasa KIUT

Tucasa KIUT Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tucasa KIUT, Religious organisation, Gongo la mboto, Gongolamboto.

It was a Marvelous day for real
18/12/2023

It was a Marvelous day for real

Shukrani za dhati ziende kwa Viongozi wetu wakubwa wa tawi la TUCASA-KIUT kampala Mwenyekiti pamoja na cabinet ake yote ...
18/12/2023

Shukrani za dhati ziende kwa Viongozi wetu wakubwa wa tawi la TUCASA-KIUT kampala
Mwenyekiti pamoja na cabinet ake yote kwa kufanikisha siku hiyo kwenda vizuri

Mungu awabariki karibuni nyote shambani mwabwana

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯It was a good day for realπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
18/12/2023

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯It was a good day for realπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Tulikuwa na wakati mzuri. Kutembelewa na Uongozi wa Chuo cha kimataifa cha kampala Mungu awatangulie katika majukumu yen...
18/12/2023

Tulikuwa na wakati mzuri. Kutembelewa na Uongozi wa Chuo cha kimataifa cha kampala
Mungu awatangulie katika majukumu yenu ya kiofisi kulitumikia taifa pia kujenga Taifa,kutoa vijana waliobobea katika kozi wazisomazo.

Pia Uongozi kutoka Jimbo mpaka ngazi ya tawi
Mungu awabariki nyote

Uongozi wa TUCASA-KIUT pia na wanachama wote wanapenda kutoa shukrani za dhari kwa walio shiriki. Mbarikiwe nyote mliowe...
18/12/2023

Uongozi wa TUCASA-KIUT pia na wanachama wote wanapenda kutoa shukrani za dhari kwa walio shiriki. Mbarikiwe nyote mlioweza kushiriki katika siku muhimu k**a hii

Mungu ni mwema amewezesha jambo hili limeenda salama

Tuendelee kutumika shambani mwa bwana

Heri ya sabato Happy 10 YRS ANNIVERSARY TUCASAKIUTTawi la kampla linayofuraha kuwatakia wanaTUCASA wote siku njema katik...
15/12/2023

Heri ya sabato

Happy 10 YRS ANNIVERSARY TUCASAKIUT
Tawi la kampla linayofuraha kuwatakia wanaTUCASA wote siku njema katika kusherekea kwao miaka 10 ya utumishi wakiwa chuoni

Ujumbe huu wa heri umetolewa na Kiongozi wa miradi Mr. IvanyTulo

Keep watching UKOMBOZI NEW TUCASAKIUT RELEASE

UKOMBOZI Official video release from TUCASA KIUT CHOIR. / New Tucasa Kiut choir
https://www.youtube.com/watch?v=uLUlcBNwrk0

Don't plan to miss this blessings
12/12/2023

Don't plan to miss this blessings

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯Together we will attend What about you?Don't miss !!!
11/12/2023

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯Together we will attend

What about you?

Don't miss !!!

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘ŠπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Plan not to missKeep on listening TUNAISHIOFFICIAL VIDEO Huku ukijiweka tayari kupata nyimbo mpya UKOMBOZI STA...
11/12/2023

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ‘ŠπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Plan not to miss

Keep on listening TUNAISHIOFFICIAL VIDEO

Huku ukijiweka tayari kupata nyimbo mpya UKOMBOZI

STAY TUNED

Plan not to miss
11/12/2023

Plan not to miss

Address

Gongo La Mboto
Gongolamboto

Telephone

+255755772493

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tucasa KIUT posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share